Happy birthday Asprin

Babu wa kukagua papuchi! Utadhani Assad vile😎😎😎😎 Happy Birthday Mkuu Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye furaha tele na afya njema.
 
Siku kama ya leo miaka 72 iliyopita alizaliwa mzee kijana,kipenzi chetu,mwanaume pekee aliyewahi kuuteka moyo wa Sky Eclat Asprin teh!

Nami nichukue nafasi hii katika siku ya leo muhimu kukuwish uendelee kuishi kwa amani,mafanikio na afya tele

Mwenyezi Mungu aendelee kukuweka mzee wetu(kama ni kweli una 72) uzidi kuona vijukuu

Happy birthday babu from another parents
I 💕 Asprin
Ahsante sana mjukuu mtiifu

Ahsante kwa kutimiza ahadi...

Am humbled...

Ila hi keki umenitengenezea wewe ama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom