Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,521
Hahahahaah dah!
Nikiwa chalii 20+ years back kuna mrembo nilikuwa namfukuzia, kuna vile alikuwa anambeba mtoto wa dada yake kifuani, nikawa natamani mimi ndo niwe huyo mtoto kukaa pale kwenye kifua.
Hiyo comment imenikumbusha.