Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Arsene leo anatimiza miaka 60 toka kuzaliwa kwake. Angekuwa kwenye club nyingine yoyote kubwa angekuwa kashapigwa chini katika kipindi hiki cha miaka minne ambayo hajashinda kombe lolote.
Naamini factors kubwa ambazo zimemlinda hadi hivi sasa na kumfanya aendelee kukalia kiti chake ni mchango wake mkubwa katika kuongeza mapato ya club, hela inayoingia ni nyingi kuliko ile inayotoka, amefanikiwa sana kwenye hili kutokana na style yake ya kutumia wachezaji toka kwenye academy au kununua wachezaji wasiokuwa na majina kwa bai ya chini na kuwaendeleza hadi kuwa world class .
Mchango wa Wenger kwenye ubunifu na ujenzi wa uwanja wa Emirates ni mkubwa sana, pengine kuliko wa mtu mwingine yeyote. Hapa ndo utagundua kwamba AW is more than just a football manager ndo maana wazee wa board wanashindwa kutumia kigezo cha vikombe alivyoshinda tu katika ajira yake. Na si hao tu, hata Madrid walikuwa wanamtaka japokuwa hajashinda chochote tangu 2005!
Style ya uchezaji wa timu imekuwa ni ya kuvutia tangu AW achukue mikoba ya Arsenal, timu hata pale inapofungwa bado inakuwa imecheza vizuri. Lakini nahisi hata yeye anajua kuwa he has to win something this season, miaka mitano bila kombe lolote kwa club kama Arsenal ni kashfa, washabiki watamgeuka na sitashangaa wachezaji kama Fabregas wakiamua kuondoka ili wakapate fursa ya kushinda vikombe kwingine. Ili pia aingie kwenye vitabu vya historia kama mmoja wa makocha mahiri waliowahi kutoke, ni lazima ashinde Champions League. You are 60 now Mr Wenger but the pressure is on......HAPPY BIRTHDAY!