View attachment 67477
.........
Sura. Wanawake wengi mlikuwa mnadhani mnachagua Mume kumbeRais wan chi. I think you have now come back to your senses after a 10 years oflife hardship in his tenure. Rudieni tena 2015 muje muisome namba fresh!kudadadeki....rais wangu huyo.......
sijui alinipagawisha nini yarabi nikampigia kura 2005......tena kwa kishindo............
najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kumfahamu........
Happy birthday prezida......:A S-cry:
Sura. Wanawake wengi mlikuwa mnadhani mnachagua Mume kumbeRais wan chi. I think you have now come back to your senses after a 10 years oflife hardship in his tenure. Rudieni tena 2015 muje muisome namba fresh!
Siyo maneno ya muungwana haya. Hukulelewa vizuri nini mamako naye ni mwanamke nadhani alipiga kura pia.
Tatizo hapa siyo kupiga kura au kutopiga, tatizo niulimpigia kura nani! Kwani kuna Mama mwanaume? Ndiyo, ni mwanamke pia nakwa taarifa yako anaitwa Dr. F. Mbowe. Sasa kwa akili yako hiyo finyu unadhani alilipigia kurahilo buzi lenu!
cheers from Mr. President aka Mzee wa Farasi!!