Hapo ulipo sasa hivi...

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,816
6,437
Hapo ulipo sasa hivi, ni meseji ipi ungependa kuipokea?

1) Hongera umejishindia Tsh. 2, 000, 000
2) Hello mpenzi nilitaka tu kusema kuwa 'Nakupenda sana'
3) Njoo uchukue pesa yako, samahani kwa kuichelewesha
4) Naomba tukapate chakula cha usiku, nitalipa mimi.
5) Jumatatu sasa imetangazwa kuwa siku ya mapumziko!
6) Nina mimba yako mpenzi!
7) Nimejifungua mtoto wa kiume mpenzi wangu!
8) Samahani sana mpenzi, naomba turudiane, nakuhitaji!
9) Somo la hesabu limefutwa shule zote!
10) Umefaulu interview na unatakiwa uripoti kazini kesho.
 
mie no 6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom