Hapa Rais wetu anakagua gwaride au anaonyesha gwaride?

Kila jambo analolifanya mkuu wa nchi ni habari na ni somo!! Nimeshuhudia sherehe za uhuru nyingi na pia sherehe za kitaifa nyingi sana. Na pia rais wetu msataafu alikua mwanajeshi yamkini anajua kupiga kwata kuliko rais wetu magufuli. Lakn alitembea kawaida akikagua gwaride.

Twende kwenye hoja. Kwani kukagua gwaride inatakiwa utembee vipi??

Binafs nimezoea kumwona kiongoz yeyote hata katika nchi tofaut kupita karibu na wanajeshi na kukagua walivosimama kuashiria kukagua ukakamavu wao sasa hapa rais wetu alikua anakagua au apiga kwata??

Kutokana na mantiki ya kukagua umahili wa wanajeshi husika ilipelekea kusoma story za nchi ya ujeruman chini ya dicteta hitra. Kwamba ili kunyosha msitari wa gwaride alinyoosha na risasi japo sijui kama kweli. Ila nikajifunza kitu kimoja kwamba kwenye gwaride kama hilo haitakiwi kuwakuta watu wazembe wazembe na wenye matumbo aka vitambi.sasa rais wetu upande huu kuna mlinzi wake upande huu kuna mkuu wa majeshi yeye yuko kati na kainua kichwa juu pasipo kutizama anaowakagua akipiga gwaride balaa!! Ni kama waliopemben yake ndio ilitakiwa wakague japo wao hawakufanya hivyo maana si kaz yao. Alikua anakagua au anafundisha??

Tunajifunza nini kwa alivyofanya rais wetu ?? Kuna haja ya wanajeshi kujipanga na kukaguliwa??

Binafsi sijamwelewa naomba kueleweshwa.
Angalia video mwenyewe

Siku hizi hata ukiwa ndani ya maji watu watasema unawatimulia vumbi, sasa cha ajabu nini hapo?
 
Angekuwa trump ungesikia aaah kumbe trump MTU sosho sana ...................kafanya msukuma wawatu nongwa........duuuuuuh
 
Cha ajabu sasa Wazungu wenyewe wala hawamind vitu peanuts kama hivyo ni ninyi nigga tu ndiyo mnafanya maisha yawe magumu bila hata sababu ...
Sio nigas , hawa ni maadui wa nchi kabisa, watu wanaoangalia mpaka Rais anatembeaje wapate cha kuandika , wana vielement vya kigaidi
 
Wabongo bwana!mbona mama jk,alikuwa yuko poa tu,uku tabasamu nene na lenye furaha!kweli ukosoaji wa huu wa sasa unaboa kinoma!
Mkuu with all due respects kwa Mkuu wa Nchi na Mstaafu, hiko kitendo hata mimi nilikiona, na kama sio JPM kumsubiri na kumuita mama agaeuke wasinge salimiana. Rais kupanda Jukwaani wote mnasimama, sasa huwezi kusimama alafu usiwe aware kuwa Mkuu anapanda. Ila ni hivyo tu mambo mengine sio ya kuyajadili, hushangai uzi ule umepotea dakika mbili tu
 
mimi nakaribia kuchoka kuchangia humu JF,vituko vimezidi nchi hii,tena vya kukerehesha mbele ya wageni wa kimataifa na dunia nzima,mabalozi watakuwa wanashea hii video leo kwenye agroup yao ya kijamii wakipasua vicheko na kunywa wiski
Unawagwaya sana wazungu sio?
 
ni mzuka tu, tena alikuwa keshamaliza kukagua gwaride.. ni jambo la kufurahisha sana. hatupaswi kujadili hili pia.

Alaf bavicha hamjafahamu kitu, sasa hivi mnasubiri anachofanya rais ndo unakuwa mjadala wenu... mnamfanya awe maarufu sana. maana kila siku tunamjadili magufuli tu.
 
Naona kuna mnaomsifia alichofanya Rais na kuna mnaomponda. Kwani nini maana ya kukagua gwaride? Rais akiwa amiri jeshi mkuu na akipewa kazi ya kukagua gwaride anatakiwa akague gwaride na si vinginevyo. Alichokifanya Rais ni kupita mbele ya gwaride huku akipiga kwata kana kwamba yeye ndiye anakaguliwa. Tuache masihara kwenye mambo ya muhimu,sifa nyingine zinaiaibisha nchi.
we nae angalia vizuri kabla ya kuandika... alikuwa keshamaliza kukagua anarudi kukaa kwenye kiti chake, hakupita mbele ya gwaride akipiga kwata.. alikuwa tayari keshamaliza kupita..
 
ni mzuka tu, tena alikuwa keshamaliza kukagua gwaride.. ni jambo la kufurahisha sana. hatupaswi kujadili hili pia.

Alaf bavicha hamjafahamu kitu, sasa hivi mnasubiri anachofanya rais ndo unakuwa mjadala wenu... mnamfanya awe maarufu sana. maana kila siku tunamjadili magufuli tu.
bandubandu humaliza gogo
 
Labda kwa kuwa ni mara ya kwanza, Kuweni na subira wadau mpo attention kukosoa tu!!!!
 
Kila jambo analolifanya mkuu wa nchi ni habari na ni somo!! Nimeshuhudia sherehe za uhuru nyingi na pia sherehe za kitaifa nyingi sana. Na pia rais wetu msataafu alikua mwanajeshi yamkini anajua kupiga kwata kuliko rais wetu magufuli. Lakn alitembea kawaida akikagua gwaride.

Twende kwenye hoja. Kwani kukagua gwaride inatakiwa utembee vipi??

Binafs nimezoea kumwona kiongoz yeyote hata katika nchi tofaut kupita karibu na wanajeshi na kukagua walivosimama kuashiria kukagua ukakamavu wao sasa hapa rais wetu alikua anakagua au apiga kwata??

Kutokana na mantiki ya kukagua umahili wa wanajeshi husika ilipelekea kusoma story za nchi ya ujeruman chini ya dicteta hitra. Kwamba ili kunyosha msitari wa gwaride alinyoosha na risasi japo sijui kama kweli. Ila nikajifunza kitu kimoja kwamba kwenye gwaride kama hilo haitakiwi kuwakuta watu wazembe wazembe na wenye matumbo aka vitambi.sasa rais wetu upande huu kuna mlinzi wake upande huu kuna mkuu wa majeshi yeye yuko kati na kainua kichwa juu pasipo kutizama anaowakagua akipiga gwaride balaa!! Ni kama waliopemben yake ndio ilitakiwa wakague japo wao hawakufanya hivyo maana si kaz yao. Alikua anakagua au anafundisha??

Tunajifunza nini kwa alivyofanya rais wetu ?? Kuna haja ya wanajeshi kujipanga na kukaguliwa??

Binafsi sijamwelewa naomba kueleweshwa.
Angalia video mwenyewe

Mbona sioni tatizo hapa, Boris rais wa Urusi aliwahi kumnyakua fimbo mwongoza brass band na kuanza kuimbisha, Vladmir Putin aliwahi kupandwa midadi na kuingia katikati ya makomandoo na kuanza kucheza nao judo, binafsi ningefurahi jpm angeshuka jukwaani na kwenda kuungana na makomando kucheza judo. siunajua jamaa huko fit.
 
Wabongo bwana!mbona mama jk,alikuwa yuko poa tu,uku tabasamu nene na lenye furaha!kweli ukosoaji wa huu wa sasa unaboa kinoma!
Wakat prezoo anapanda jukwaan watu wote macho yalikua kwake so na yeye kama mgeni meza kuu ilitegemewa awe attention ili asalimiane nae, lkn akajifanya yupo bize kupiga makofi akat prezoo ashanyoosha mkono nazan alistuliwa labda tafuta clip hicho kiseemu
 
Back
Top Bottom