Hapa Rais wetu anakagua gwaride au anaonyesha gwaride?

Kile kichomfanya apige push up wakat Wa kampen ndicho kinachomfanya Leo atembee kigwaride,anajivunia "afya" yake
 
Tukubaliane tuu kuwa mzee alichofanya pale ni "mzaha" tuu. Ila kiukweli kaufanya mahali ambapo hapastahili. Gwaride la heshima ni kitu kingine kabisa, na hata afanyapo ukaguzi umakini wa wote ndani ya gwaride unakuwa wa hali ya juu na hakuna utani pale. Ndio maana hata nge alingie na kumuuma askari kunako nanihii anapaswa kutulia tuli.
Kwa vile sio shughuli ya utani na imewasimamisha watu juani masaa matatu haistahili MIZAHA. Hata maandiko yanasema msikae barazani kwa wenye mizaha.
 
Daaaah ingekua bonge la muvi, maana alijifanya bize kupiga makofi kama hamuoni vile
Na wewe uliona Mkuu. Sijaipenda kwa kweli muvi ile, inafanya watu waanze kufikiria na stori zilizozagaa
 
Naona kuna mnaomsifia alichofanya Rais na kuna mnaomponda. Kwani nini maana ya kukagua gwaride? Rais akiwa amiri jeshi mkuu na akipewa kazi ya kukagua gwaride anatakiwa akague gwaride na si vinginevyo. Alichokifanya Rais ni kupita mbele ya gwaride huku akipiga kwata kana kwamba yeye ndiye anakaguliwa. Tuache masihara kwenye mambo ya muhimu,sifa nyingine zinaiaibisha nchi.
Hakuna alichokosea mh. Rais. Natoa hoja kama mtaalamu kwenye fani hiyo.
 
Afu we jamaa unajaza saver za watu tu kama huna cha kuandika wakati mwingine kaa usome maandishi ya watu wengine, kwani ni lazima ukomenti kila kitu? Kwani Rais ni malaika kwamba hawezi kuwa huru kuonyesha furaha yake? amekosea nini, wewe ulitakaje sasa? kwanza kafanya alichofanya baada ya kumaliza gwaride, afu unakuja kutuandikia mashudu yako hapa, shame on you!! Acha gubu
 
Po.mbe siyo nzuri, ndo maana wauzaji wanawaasa watumiaji "Drink Responsibly"
 
Back
Top Bottom