Hapa ndipo watu wanapoteana

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,059
10,519
Mjini kila mtu dereva ila kuna mashine ukiwekewa ndio utajua wengi sio madereva.

FB_IMG_17024050256725042.jpg
 
Kwanza lazima ujue u dereva Ni Nini,

Hata ukiwa dereva wa miaka 30 ikija gari mpya yenye mifumo mipya Ni lazima ufundishwe namna inaendeshwa ,, licha ya gari mpya zinaweza wepo za zamani ambazo hujawahi ziendesha hivo haiwezi kukufanya usiwe dereva,, manual na auto Ni mifumo tu

Leo hii Kuna baadhi ya gari hata ukipewa key hautaweza washa Wala kujua linawashiwa wapi hivyo haiwezi kukufanya usiwe dereva Ni kwamba umekutana na gari hujawahi endesha ila control yako iko pale pale



Kuna super car moja bila kukanyaga brake Mara mbili haiwaki, na funguo Ina sumaku Ni Kama ki remote TU unakiweka sehemu kinanata na hapo ndo gari inakuwa on una press pedal ya brake Mara mbili Kisha una push button inawaka
 
Back
Top Bottom