Hapa ndipo mtamtambua Rais Magufuli

Siyo Magufuli sema LOWASSA, SUMAYE, MASHA, MAGUFULI, KINGUNGE, MAHANGA Wote walikuwemo ACHENI UNAFIKI WA MWENDOKASI. Tena hata ni bora MAGUFULI Ana Legacy TANGIBLE ya kujivunia ( WIZARA YA UJENZI + UVUVI ) Sasa hao wengine wana kitu gani cha kujivunia zaidi ya kuwa MIJIZI, MIPENDA MADARAKA NA KUUZA NCHI
Unafikiri ukiwataja hao, ndiyo nitabadili nilichokisema? I aint any fan of these political parties. I'm a fan of Tanzania.

Hao wote ni products ya CCM, which is a gang of crooks and thieves. No wonder we have a thief and crook as a president.

Ati ana legacy ya kujivunia! Ya kujivunia my foot! Ujenzi wa barabara zisizo na kiwango, ambazo ripoti ya CAG mwaka wa mwisho wa JK ilionyesha jinsi wizara ya ujenzi ilivyofanya ufisadi kwenye mikataba na makandarasi? Kwenye uvuvi, umesahau hasara aliyoisababishia serikali kwenye sakata la samaki? Umesahau alivyofisadi nyumba za serikali? Alivyofisadi ferry ya DSM?

BTW, si mahakama ya mafisadi ilifunguliwa tena kwa mbwembwe nyingi, kwanini hao akina Lowassa hawapo mahakama na probably jela? Maana wanastahili kuwa huko, pamoja na Magufuli.
 
WELL SAID
 
copy that
 
Atakuwa kakutumbua jipu la takoni, kiti hakikaliki. Vumilia Maumivu na ujifunze KULA KWA JASHO. Magu is there to stay. Hatred will have you killed soon. Mpe hi hapo Mtei
 
Hana ubavu wa kunitumbua. Moja, mimi siyo mwajiriwa wa serikali ya CCM. Na pili, siyo mla vumbi vilevile.
 
Hata kama, suala ni kwamba Magufuli amekuwa yumo ndani ya serikali kwa 20+ years. Alishiriki vikao vya baraza la mawaziri na kupitisha sheria (Bungeni) na mikataba (Cabinet) ambayo ndiyo imezalisha hayo yaliyosemwa na CAG.

Magufuli ni sehemu ya hiyo mess.
Pumba
 
Mkuu ata kama alikuwa kwenye baraza la mawaziri kama alikuwa anapinga na wengi walikubali utajuaje? Na tinaambiwa maamuzi ya baraza la mawaziri ni siri mkuu.
Mwisho yeye akuwa rais,alikuwa waziri na sio wa madini na kama boss wake(rais mstaafu) alikuwa ana endorse ,yeye angeweza kumpinga boss wake?
Sasa kashika mpini(rais sasa) tusubiri maamuzi na utendaji wake ili ata tukianza kumlaumu tuwe na pa kuanzia mkuu.
 
Back
Top Bottom