Hapa ndipo aliposulubiwa Hamad Rashid Mohd mbunge wa Wawi

Kobaba

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
492
341
Akiwa ktk picha pamoja na wajumbe wenzake wa CUF ktk mkutano uliofanyka jana ktk ukumbi wa Mazsons Hotel Shangani mjini Zbar muda mfupi kabla kuanza kikao kilichomvua uanachama wa cuf yeye na wenzake wa3. HR yupo ktkati alievaa suti na miwani. Ni imani za wengi kuwa mwelekeo na umaarufu wa kisiasa kwa HR umekwisha.Tayar mwenzake aliewahi kuwa kiongozi wa upinzan bungeni Fatma Magimb hasikiki tena ktk medan ya siasa.HR ni ndugu wa karibu na marehemu Dokta Omar Ali Juma aliewahi kuwa makamo wa rais wa URT.
 
Attachments

  • Hamad Rashid.jpg
    Hamad Rashid.jpg
    10.5 KB · Views: 94
Unajuaje kama hatasikika tena?Hatuishi kwa mifano ya watu wengine na siku zote huwezi safiria nyota ya mwingine,hebu tusubiri tuone nini mwisho wa haya yote.
 
Unajuaje kama hatasikika tena?Hatuishi kwa mifano ya watu wengine na siku zote huwezi safiria nyota ya mwingine,hebu tusubiri tuone nini mwisho wa haya yote.

Wapemba wenyewe wanamsuta,ataenda wapi na atatoka kivipi?Mkuu nataka nikwambie hata aanzishe chama chake hawezi pata sapoti,hata akiipata itakua ndogo sana kama ile ilokuwa ya Jahazi asilia,Kumbuka kuwa wapemba ni wahafidhina wakishachukia/kupenda kitu kubadilika inakuwa mwiko!Hvyo ndivyo tulivyo mkuu kama hutujui.
 
Akiwa ktk picha pamoja na wajumbe wenzake wa CUF ktk mkutano uliofanyka jana ktk ukumbi wa Mazsons Hotel Shangani mjini Zbar muda mfupi kabla kuanza kikao kilichomvua uanachama wa cuf yeye na wenzake wa3. HR yupo ktkati alievaa suti na miwani. Ni imani za wengi kuwa mwelekeo na umaarufu wa kisiasa kwa HR umekwisha.Tayar mwenzake aliewahi kuwa kiongozi wa upinzan bungeni Fatma Magimb hasikiki tena ktk medan ya siasa.HR ni ndugu wa karibu na marehemu Dokta Omar Ali Juma aliewahi kuwa makamo wa rais wa URT.

Hamad Rashid hawezi kuanzisha chama kikamlete mafanikio kisiasa na akijiunga na CCM ndiyo utakuwa mwisho wake kisiasa kwani wapemba hawaipendi CCM kihistoria. Ni bora akomae hata ni kwenda mahakamani abakie CUF.

Kama atashindwa ni bora ajitoe mhanga ajiunge na CHADEMA uwe mwanzo mzuri wa CHADEMA kunguruma upande wa pili wa nchi kimafanio kama bara. ila hii itawezekana kama wanabchi wake wanamkubali na kama walimchague yeye kama yeye sio kama mwanachama wa CUF.
 
Back
Top Bottom