Mabreka
JF-Expert Member
- Aug 29, 2012
- 709
- 207
Kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae siku za nyuma, na nilkuwa namsaidia (financial support) anapokuwa kakwama mahali maisha yanaendelea.
Kutokana na mambo ya hapa na pale hatukuweza kuoana so akaolewa na mtu mwingine. Tumeendelea kuwa marafiki ila hatupigi yale mambo yetu yale tena tunaheshimiana as a friend.
Sasa kaja na sera km za enzi zile "(naomba nikopeshe)" hizi huwa harirudishwagi.
Kilichonishtua kisingizio kuwa mr wake alijisahau akasafir na ATM card, so atarudisha Jamaa akirudi, ila mie najua siku hizi kuna njia kibao za kutuma pesa.
Je nikimpa atarudisha? Kiukweli sitakuwa na nguvu ya kumdai km hatarudisha mwenyewe.
HII IMEMTOKEA RAFIKI YANGU SO KAJA KUOMBA MAWAZO KWANGU.