Hapa NACHUNWA? Naomben msaada wenu tafadhali

Kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae siku za nyuma, na nilkuwa namsaidia (financial support) anapokuwa kakwama mahali maisha yanaendelea.
Kutokana na mambo ya hapa na pale hatukuweza kuoana so akaolewa na mtu mwingine. Tumeendelea kuwa marafiki ila hatupigi yale mambo yetu yale tena tunaheshimiana as a friend.

Sasa kaja na sera km za enzi zile "(naomba nikopeshe)" hizi huwa harirudishwagi.

Kilichonishtua kisingizio kuwa mr wake alijisahau akasafir na ATM card, so atarudisha Jamaa akirudi, ila mie najua siku hizi kuna njia kibao za kutuma pesa.

Je nikimpa atarudisha? Kiukweli sitakuwa na nguvu ya kumdai km hatarudisha mwenyewe.

HII IMEMTOKEA RAFIKI YANGU SO KAJA KUOMBA MAWAZO KWANGU.

haiwezekani......yaani ndizi ale mtu mwingine halafu wewe.....uwe unatupa maganda?
haiwezekani.......chakula wale watu wengine wewe unaishia kunawa mikono?

kiukweli....hapo ni unapigwa changa la machooo......yaani hizo pesa unazotoa kumpa huyoo dada ndizo anazokula mwanaume wake........zinduka mjomba hapa mjini.........:majani7:
 
Kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae siku za nyuma, na nilkuwa namsaidia (financial support) anapokuwa kakwama mahali maisha yanaendelea.
Kutokana na mambo ya hapa na pale hatukuweza kuoana so akaolewa na mtu mwingine. Tumeendelea kuwa marafiki ila hatupigi yale mambo yetu yale tena tunaheshimiana as a friend.

Sasa kaja na sera km za enzi zile "(naomba nikopeshe)" hizi huwa harirudishwagi.

Kilichonishtua kisingizio kuwa mr wake alijisahau akasafir na ATM card, so atarudisha Jamaa akirudi, ila mie najua siku hizi kuna njia kibao za kutuma pesa.

Je nikimpa atarudisha? Kiukweli sitakuwa na nguvu ya kumdai km hatarudisha mwenyewe.

HII IMEMTOKEA RAFIKI YANGU SO KAJA KUOMBA MAWAZO KWANGU.

Yawezekana huyu anataka kurudi kwa mlango wa nyuma! anajaribu kupima sencer yako kama ina note something behind. Kwani kama suala ni kwenda na ATM yake, sasa hivi M PESA, tigo pesa hadi vijijini zinapatikana iweje isiwezekane? Think twise.
 
something doesn't add up
  1. dada aliyeolewa akiwa na matatizo ya pesa anamuomba mumewe. hata kama kaondoka na atm card si watumie m-pesa ebo.
  2. kuja kumuomba X wake inaleta mashaka kwa wasikilizaji hata kama dada yuko 'honest' na hataki 'game'. history ni ngumu kusahau na mnaweza kujikuta mna-do na kuleta mfarakano kwenye ndoa au ukarudia tukio la Mwanza.
  3. aongee na mumewe au akope kwa mashosti zake.
  4. kama bado anataka kumkopesha watumie wakili na mkataba (lol) ili deni lirudishwe but i strongly recommend #3 above instead
 
achana nae, mwambie awape ndugu zake, kwani uyo jamaa anandugu wenye shida akawasaidia kuliko kumpa uyo macho kumchuzi. kama vp mwambie apeleke msaada kanisani au msikitini kuliko kumpa uyo mjinga-mjinga
 
Yawezekana huyu anataka kurudi kwa mlango wa nyuma! anajaribu kupima sencer yako kama ina note something behind. Kwani kama suala ni kwenda na ATM yake, sasa hivi M PESA, tigo pesa hadi vijijini zinapatikana iweje isiwezekane? Think twise.
hii ndo ilileta wasiwasi,
tukawa tunahisi huenda kuna agenda nyingine nyuma ya pazia, au mumewe kagoma kutoa matumizi
 
Kwa kawaida wadada waliowengi kutamka neno tuludiane ni vigumu, hivyo atatumia njia mbadala kama hii ya huyu rafiki yako wa zamani. Swali la kujiuliza mwanaume gani atasafili bila kuacha pesa ya matumizi na je! hakuna hata majilani ?
 
msaidie tu kwa kiwango ambacho isiporudi hutaumia roho as a frend bt kama utaona anajenga mazoea kwenye hako katabia mkwepe
 
kwlei nimeamini bdo kuna mazoba wanazaliwa, yani unam2mia demu vocha wakati hata hujaonanae alafu pia umesikia ameshaolewa bdo unaendelea kutaka kumtumia, ivi huo ni uZEd au tusemeje jamn.,? ndio mwisho wa kugandana sasa
 
Back
Top Bottom