hapa mimi ndipo ninapokerwa na CHADEMA!!

Chukueni FILM ya hotuba za Slaa na muangalie.

Aje huko kupoteza muda na pesa? Huko malizazeni Waswahili wenyewe kwa wenyewe.

CUF na CCM mnapendeza sana Mtwara na LINDI. Makonde kwa ChiChieM ni kama Mguu Mchafu na Sindimba.
Mawazo yako mkuu wangu yana walakini mkubwa. Watake radhi
 
Hamumuhitaji Dr. Slaa ili kupata ukombozi wa minyororo ya CCM.

Dr. Slaa aje huko au asije hilo lisiwe kisingizio chenu cha kutochagua Chadema na Dr. Slaa kwa kishindo ambacho JK na CCM yake itashika adabu. Tunamuhitaji

Shida zenu ndizo ziwaongoze kufanya maamuzi yenye utashi wa kisiasa. Maendeleo yenu kamwe hayatapatikana kwa hotuba bali kwa ninyi kufanya maamuzi ya kujijenga siku zote.

Listen..kuchagua tutamchagua lakini ni haki yetu kumuona akipita huku..isitoshe nasie tuna vipaumbele vyetu na shida zetu flaniflani ambazo zinatakiwa zisikilizwe na mgombea Dk Slaa.
 
Una uhakika walizipenda sera za cuf na ccm kwasababu hawajawahi kuzisikia sera za chadema?

Ni bora ingekuwa ni ngome ya cuf peke yake,then from there hakuna shida,kama wapinzani wanaweza kufikiri namna ya kushirikiana,ila kama wananchi hao wa ukanda wa kusini wana hamu na mabadiliko watayafanya na kamwe hawawezi kulazimishiwa.

Wananchi wenye kujitenga kidini na kikabila wana matatizo mengi sana ambayo ndiyo kikwazo cha mabadiliko...Kama wameridhika huwezi kuwalazimisha,mabadiliko yataletwa na wenye nia.....kwenye dunia ya sasa yenye kujali demokrasia,basi hata ukiamua kuwa mjinga ni rukhsa!

Hata Mungu mwenyewe akishuka leo lazima kuna watakaompinga,lakini kupingwa haimaanishi kushindwa.
Pia mleta hoja inaonekana haonyeshi msingi wa hoja yake na wewe kwa kukurupuka ukaingia mtegoni na kuanza bla blah...Mleta hoja kadai wananchi hao wa kusini wanamwona Dr Kwneye luninga tu na sasa wanataka kumwona live!Sasa ina maana kuwa wameshamsikia na kumwona kwenye luninga akimwaga sera...Kumbe tatizo siyo kwamba hawajamsikia kama unavyotaka kupindua hoja na kutuaminisha upotofu wako....Bali wanataka kumwona live kama watu wa maeeo mengine.

Ofcoz tunamwona mara nyingi kwenye taarifa ya habari ambapo always si chini ya dakika 2, na sio kwamba tunamwona na kusmikia kwa dakika zote za mikutano yake..kuna mambo mengi sana anayaongelea na kwenye habari wanachukua part ndogo tu ya maelezo yake...so still tunamuhitaji
 
Una uhakika walizipenda sera za cuf na ccm kwasababu hawajawahi kuzisikia sera za chadema?

Ni bora ingekuwa ni ngome ya cuf peke yake,then from there hakuna shida,kama wapinzani wanaweza kufikiri namna ya kushirikiana,ila kama wananchi hao wa ukanda wa kusini wana hamu na mabadiliko watayafanya na kamwe hawawezi kulazimishiwa.

Wananchi wenye kujitenga kidini na kikabila wana matatizo mengi sana ambayo ndiyo kikwazo cha mabadiliko...Kama wameridhika huwezi kuwalazimisha,mabadiliko yataletwa na wenye nia.....kwenye dunia ya sasa yenye kujali demokrasia,basi hata ukiamua kuwa mjinga ni rukhsa!

Hata Mungu mwenyewe akishuka leo lazima kuna watakaompinga,lakini kupingwa haimaanishi kushindwa.
Pia mleta hoja inaonekana haonyeshi msingi wa hoja yake na wewe kwa kukurupuka ukaingia mtegoni na kuanza bla blah...Mleta hoja kadai wananchi hao wa kusini wanamwona Dr Kwneye luninga tu na sasa wanataka kumwona live!Sasa ina maana kuwa wameshamsikia na kumwona kwenye luninga akimwaga sera...Kumbe tatizo siyo kwamba hawajamsikia kama unavyotaka kupindua hoja na kutuaminisha upotofu wako....Bali wanataka kumwona live kama watu wa maeeo mengine.

Mheshimiwa hoja yangu hapa ni kuwa kwa kuwa lengo letu ni kuleta mabadiliko basi hatuna budi kuhakikisha kuwa Dokta anawafikia watanzania wengi kadri inavyowezekana (kwa mtazamo wangu - hususani maeneo ambayo CHADEMA haijjajewekea NGOME) usiniambie kuwa huko kusini hakuna hata mtu mmoja anayeunga mkono CHADEMA, je huyu mtu atajisikiaje akiambiwa kuwa eti Dokta ameghairisha ziara yake ya kampeni huko eti kisa wengi (wa wana-kusini wenzake) wanaunga mkono CCM au CUF, kwa hiyo asahau kuhusu CHADEMA siyo? Isitoshe kwa kuwa CHADEMA imeshatambua kuwa bado hawajawa na NGOME imara maeneo ya kusini, ningetegemea kuona Dokta akielekeza nguvu zaidi huko na kisha Wana-CHADEMA wengine (na wapenda mabadiliko wote) tuendeleze kampeni kwenye maeneo ambayo tayari anakubalika kuliko kutumia muda mwingi na nguvu nyingi kumshawishi mtu ambaye tayari anakuunga mkono ilhali kuna ambao hawajasikia hata mawazo yako (kama ndo anafanya hivyo, basi hainiingii akilini).

Hata Yesu alisema "Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi" - Marko 2:17

Tutafakari.
Ubarikiwe sana.

Mawazo yako mkuu wangu yana walakini mkubwa. Watake radhi

Naunga mkono hoja.
 
obama-kikwete3.jpg

unaweza kukisia jamaa alikuwa anamwambia nini obama?
 
Mheshimiwa hoja yangu hapa ni kuwa kwa kuwa lengo letu ni kuleta mabadiliko basi hatuna budi kuhakikisha kuwa Dokta anawafikia watanzania wengi kadri inavyowezekana (kwa mtazamo wangu - hususani maeneo ambayo CHADEMA haijjajewekea NGOME) usiniambie kuwa huko kusini hakuna hata mtu mmoja anayeunga mkono CHADEMA, je huyu mtu atajisikiaje akiambiwa kuwa eti Dokta ameghairisha ziara yake ya kampeni huko eti kisa wengi (wa wana-kusini wenzake) wanaunga mkono CCM au CUF, kwa hiyo asahau kuhusu CHADEMA siyo? Isitoshe kwa kuwa CHADEMA imeshatambua kuwa bado hawajawa na NGOME imara maeneo ya kusini, ningetegemea kuona Dokta akielekeza nguvu zaidi huko na kisha Wana-CHADEMA wengine (na wapenda mabadiliko wote) tuendeleze kampeni kwenye maeneo ambayo tayari anakubalika kuliko kutumia muda mwingi na nguvu nyingi kumshawishi mtu ambaye tayari anakuunga mkono ilhali kuna ambao hawajasikia hata mawazo yako (kama ndo anafanya hivyo, basi hainiingii akilini).

Hata Yesu alisema "Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi" - Marko 2:17

Tutafakari.
Ubarikiwe sana.

Naunga mkono hoja.
Mkuu nashukuru,ila nadhani hujanipata sawia,nakubaliana nadhana ya kwamba ni muhimu kuwafikia wananchi wengi kwa kadri ya muda unavyoruhusu...Hata hivyo mimi niliuliza je ni sababu zipi zilizowapelekea wananchi hao waikumbatie ccm na cuf zaidi?Je unataka kusema ni kwasababu Dr Hajafika huko wakati huu wa kampeni?

Ni vyema kumsihi afike huko pia,ila ni muhimu kujiuliza ni kwanini wananchi hao wana imani zaidi na cuf and ccm?Tuanzie hapo ili tujadili kama ni njia gani zitumike na kwa namna gani ili wananchi hao wafikishiwe ujumbe. na ukombozi uwafikie... Je na Lipumba naye aende maeneo gani ambayo anadhani cuf haina sapoti ya kutosha?Je kuna jibu lolote ambalo linaweza kutolewa ufafanuzi demographically?Hao ambao hawaitaki ccm,kwanini only cuf?

Pia ni mvuto gani chama cha cuf waliouna hadi kuamua kujiimarisha zaidi huko kusini?

Kuna ule msemo unaosema "Shika sana ulichonacho" Dont you think this is the case?Kama cuf wana nguvu zaidi ya ccm huko ukanda wa kusini,then ni jambo la maana wakaachiwa,ama what in common does cuf and ccm have?

Kuna kitu ambacho cuf na ccm wanacho ambacho kinapelekea wananchi hao wawe na mielekeo hiyo ya either cuf or ccm?
 
Tatizo la lindi na Mtwara wengi ni CCM na CUF damu damu sasa unaweza enda kuchoma mafuta ya helcopter ukaambulia kura mia.
Anyway si haba kama akienda ingawa to me iyo ni mikoa migumu kupata kura mbaya zaidi ndo inaongoza kwa umaskini Tz.
Yaani uko ule msemo wa Baregu kuwa ujinga wa watanzania ndio mtaji wa CCM iko applicable at 100%
 
Hata kama akifika huko kusini, sidhani kama ataleta athari kubwa kiupinzani kwani sera zake hazina jipya kusema" elimu bure, afya bure, kuondoa kodi hata CUF, TLP , NCCR walisha ahidi ktk kampeni tokea 2005, lakini kiko wapi, tatizo watanzania tupo kama bendera tunafuata upepo unapovuma.
 
Hivyo vyama ulivyoviorodhesha vimeshawahi kushinda uchaguzi mkuu?Utatekeleza vipi ahadi kama usipopewa nafasi ya kufanya hivyo?Mkuu posti yako ya kwanza tu lakini duh!
Nimeshuhudia wanachama wengi sana ambao wakati ule wa mijadala ya ufisadi walikuwa kimya ila wanaibuka kipindi cha uchaguzi na ku assume kuwa tumesahau.
Haya karibu jamvini hila usianze kwa kusema "tupo kama bendeara tunafuata upepo" sema upo kama bendera unafuata upepo" hapo utaeleweka zaidi...Sijui ni lini umeanza kusoma JF lakini ushauri ni take your time and study it first...Maji uyapime kwanza mkuu unaweza ukachekesha....
 
Chukueni FILM ya hotuba za Slaa na muangalie.

Aje huko kupoteza muda na pesa? Huko malizazeni Waswahili wenyewe kwa wenyewe.

CUF na CCM mnapendeza sana Mtwara na LINDI. Makonde kwa ChiChieM ni kama Mguu Mchafu na Sindimba.

Sikonge, nilidhania ni mtu mwerevu na mweledi wa mambo. Kwa mtazamo wako huo ulichangia hapo juu, unajishusha thani yako. Kaa ukijua huu ni ubaguzi wa waziwazi kwa watu wa mikoa ya kusini kuwaita WASWAHILI, ila hukumaanisha waswahili km waswahili ndani ya moyowako kabisa unjua umemaanisha nini.

My take
Hivi Tabora na Kigoma kuna tofauti gani na mikoa ya Lindi na Mtwara? si mikoa yote imejazana "waswahili" unaowataka wamalizane wenyewe kwa wenyewe?

Tukubali matokeo tu kwamba, CHADEMA kimkakati hawana nguvu mikoa ya kusini ukilinganisha na CUF; ni sawa na vile CUF ambavyo hawana nguvu mikoa ya kaskazini; ila afadhali wao waliheshimu ratiba yao kufika huko wasiko na nguvu kuliko kutokwenda kabisa na bila ya kuwajulisha wananchi wa mikoa husika.
Kwa namna moja ama nyengine wananchi wa mikoa ya kusini wamedharauliwa km vile CCM ilivyowadharau kwa takribani miaka 50 sasa, maana nao wanawaoana ni "waswahili" km uwaonavyo wewe "mzungu" wa sikonge, Tabora!!!
 
Tatizo la lindi na Mtwara wengi ni CCM na CUF damu damu sasa unaweza enda kuchoma mafuta ya helcopter ukaambulia kura mia.
Anyway si haba kama akienda ingawa to me iyo ni mikoa migumu kupata kura mbaya zaidi ndo inaongoza kwa umaskini Tz.
Yaani uko ule msemo wa Baregu kuwa ujinga wa watanzania ndio mtaji wa CCM iko applicable at 100%

Ushindwe, Ukome, Ulegee, Utepete na IKIbidi Ufe kabisa..!!!nani kakwambia hii ndio mikoa maskini Tz????UFE kabisa kunguni wewe. Huu umaskini uliopo ni CCM ndio wameuleta.
 
Pia ni mvuto gani chama cha cuf waliouna hadi kuamua kujiimarisha zaidi huko kusini?

Mvuto walionao CUF ni ushindi waoupata mwaka jana wa viti zaidi ya 97 katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Hiyoni ishara tosha kwamba wanachi wa huko wanayahitaji mabadiliko kwa udi na uvumba na vile vile wanaona CUF ndio mkombozi wao kama vile mikoa ya K'njaro, Arusha na Manyara wanavyoona CHADEMA ndio mkombozi wao.
 
.... ni strategy za kampeni kama ujuavyo jamaa wa ccm naye hajaenda huko. kapita tu mke wake na mgombea mwenza. Usikate tamaa mikoa na wilaya zake zote atapita mpambanaji. Kiu ya watanzania juu ya Dr.Slaa ni kubwa. Ungekuwa Mwanza alipokuja kuwakampenia wabunge ungejua watu wanataka mabadiliko. Alihutubia akamaliza lakini wananchi wakasema bado wanahitaji zaidi kusikia kutoka kwake. Tusubiri 31/10. Patachimbika... Nawahi Sit yangu pale Uwanja wa Uhuru - a.k.a Shamba la Bibi, nikisubiri jamaa aapishwe mbele ya ccm na shimbo na redet na daily news.
 
... suala sio chadema haijawa na nguvu kusini lakini mwaka huu nani anakubalika kuchukua uraisi katika mikoa yote Tanzania in average?
 
Listen..kuchagua tutamchagua lakini ni haki yetu kumuona akipita huku..isitoshe nasie tuna vipaumbele vyetu na shida zetu flaniflani ambazo zinatakiwa zisikilizwe na mgombea Dk Slaa.

Mkuu kuna point hapo kama ameweza kwenda kwingine kwanini asije huko? yeye atakuwa raisi wa TZ so mna haki ya kumuona na kumsikiliza nina imani lazima atakuja huko
 
omba omba wenu anaomba asaidiwe maana hajui kwa nini nchi yake ni maskini! Akifika ruvuma kwenye kampeni anaonge na simu na kuwataarifu watu kwenye mkutano alikuwa anaongea na obama ameahidi kutuma misaada zaidi!!!
Uchuro mtupu!!!!!!! Hana jipya
Toka Vasco Dagama afe mrithi alikuwa hajapatikana isipokuwa mtanzania wa Bagamoyo JK
 
Aise jamani kuuliza si ujinga. Ma avarta yanapatikanaje na yanawekwaje humu?
 
HIli ni suala ambalo wana Chadema inabvidi mlifanyie kazi..................tena inafaa Dr. Slaa aende kule haraka/mapema iwezekanavyo...........huu si wakati wa kukubali ku-loose hata kama ni kura 100................pangeni mikakakti hata kama ni kuwenda kule Lindi na Mtwara kwa siku moja moja.........trust me italipa...............toeni matangazo mapema i.e. this week ili watu wajiandae ikiwa hata kusafiri kutoka wilaya mbali mbali ..........kuwa mnaenda huko na mkutano ufanyike kwenye viwanja vikubwa e.g vya michezo.............muda ni mfupi fanyeni kweli............
 
Kweli ndugu yangu muda ni mfupi na hakuna dalili zozote..iwe ni matangazo au vinginevyo,so sijui itakuwaje tegemeo la rais asije huku..nahisi kuna hatari ya kutudharau endapo ataingia ikulu coz anaweza akajigamba kwamba nimeingia ikulu bila kwenda mikoa hii(sidhani coz Dk ni mwerevu) bt the point ni kwamba we are still in dark view abt him and chadema.
 
Aise jamani kuuliza si ujinga. Ma avarta yanapatikanaje na yanawekwaje humu?

Avatar ni picha ya aina yoyote utakayoipenda, waweza download online au hata kama picha yako whatever....so kuiweka ni kwamba nenda juu kabisa ya page yako,mahali palipoandikwa my profile then ukipitisha macho hapo utaona edit avatar ,gonga hapo na kuna sehemu ya ku-upload either from online or prom PC...hope u get it
 
Back
Top Bottom