Hapa lazima elimu ipande hata kama kilaza kwa kiasi gani!!

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Jamani shule ndo hizo ...na kama bado hujamuandikisha mtoto wako wakati nadhani umefika.
 

Attachments

  • 163995_189501874398106_100000148851183_802217_2715448_n.jpg
    163995_189501874398106_100000148851183_802217_2715448_n.jpg
    41.5 KB · Views: 319
NI NCHI GANI....? lazma itakuwa si chi nzuri tuipendayo ....TANZANIA
 
Siyo kweli. Nyoko kwa Kinyamwezi ni Mama.

Wengine wanasema Noko, Mayu, Mama na sisi Sikonge tunatesa kwa "Nyoko......."

Ukisema Nyooko ndiyo inakuwa tusi.....
 
Kwa baadhi ya lugha nyoko ina maana ya "mam'ako"; kwa kawaida neno hili likitumika kwa Kiswahili linakuwa limeambatana (japo bila kutaja) na nanihii ya mam'ako, ambapo hapo linakuwa tusi. Mtu akikwambia nyoko au k*m* nyoko maana inakuwa ile ile, ambalo ni tusi baya.
 
Back
Top Bottom