Hapa kuna mapenzi kweli?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Habari za jioni wadau? Nipo nabadilishana mawazo na rafiki yangu ambaye anataraji kuajiriwa na kuwa mwalimu, lakini anachonishangaza eti hataki mwanaume ambaye ni mwalimu kama yeye. Jamani hivi mliobahatika kukutana na walimu wana mawazo kama haya au ni huyu tu na tamaa zake? Maana naona kama ananitega, kwani msisitizo wake eti sisi/mimi tuna uhafadhali kwani kuna semina, safari na vikao. Anadai akiolewa na mwalimu hawataweza kusongesha maisha. Ninachojiuliza, hivi hata akipata mwanaume asiye mwalimu kutakuwa na mapenzi ya kweli?
 
Siku hizi kila kitu maslahi mbele....

Mwambie hata walimu wapo wanaokula pesa ndefu tu...ila sio wa kata!!Japo nae anaweza akawa na katwisheni kake kuongezea mshiko!
 
Ana tamaa ya kufanikiwa haraka huyo. Hana mapenzi ya dhati. Hata ukimuoa atakuchakachua tu!
 
Akiajiliwa Serikalini asahau kufanikiwa kama anavyofikili atuulize sisi, ndio maana serikalini kuna mafisadi kwa sababu wanahitaji kuendelea haraka kama nyie
 
Siku hizi kila kitu maslahi mbele....<br />
<br />
Mwambie hata walimu wapo wanaokula pesa ndefu tu...ila sio wa kata!!Japo nae anaweza akawa na katwisheni kake kuongezea mshiko!
Suala la mwalimu kula pesa ndefu halimuingii akilini, nimemshauri kuhusu miradi tofauti tofauti, lakini kikubwa anaonekana anapenda Kitonga
 
Hamna lolote hapo zaidi ya tamaa!hanazo kichwan kwanza!hv hajui kuwa wanaume ni adimu!bado anachagua wakati wenzake wamezeekea makwao!nina hasira!mwambie akajiuze basi
 
aaah mi namcheki tu hapa, kwani mpaka muda huu hana hata mwelekeo.
 
Aah. Huyo yuko more strategic. Wakati mwingine lazima kuwe na malengo kabla ya kufanya maamuzi yanayotu cost for the rest of our lives. Haina maana kuwa hana uwezo wa kupenda bali apendi hovyo hovyo, ana mpango mkakati. Which is not bad. Mapenzi ndiyo hayana macho wala masikio; but kabla hujaamua kumpenda mtu unaona vizuri na kusikia.
Habari za jioni wadau? Nipo nabadilishana mawazo na rafiki yangu ambaye anataraji kuajiriwa na kuwa mwalimu, lakini anachonishangaza eti hataki mwanaume ambaye ni mwalimu kama yeye. Jamani hivi mliobahatika kukutana na walimu wana mawazo kama haya au ni huyu tu na tamaa zake? Maana naona kama ananitega, kwani msisitizo wake eti sisi/mimi tuna uhafadhali kwani kuna semina, safari na vikao. Anadai akiolewa na mwalimu hawataweza kusongesha maisha. Ninachojiuliza, hivi hata akipata mwanaume asiye mwalimu kutakuwa na mapenzi ya kweli?
 
Aah. Huyo yuko more strategic. Wakati mwingine lazima kuwe na malengo kabla ya kufanya maamuzi yanayotu cost for the rest of our lives. Haina maana kuwa hana uwezo wa kupenda bali apendi hovyo hovyo, ana mpango mkakati. Which is not bad. Mapenzi ndiyo hayana macho wala masikio; but kabla hujaamua kumpenda mtu unaona vizuri na kusikia.
mh ni kweli, she is more strategic, lakini mwisho wa siku mambo yakienda kombo, tutegemee liquidation as a strategy.
 
hyo hajielewi inavoonekana.atapata shida na kwenda na maji acpoangalia vzr.then hna penz la kweli.anaonekana wa bei ghali.na hta akimpata hyo anaemtaka ujue kamwe hata kuwa peke yake.ova
 
Walimu ni moja ya wafanyakazi ambao wanalipwa mishahara midogo. Pia kumezuka tabia siku hizi, mtu asipofaulu vizuri anaashauriwa akosomee ualimu kitu ambacho kimeifanya fani hii muhimu kudharaulika na wengi. Hili nalo limeingia mpaka kwenye mahusiano. Kwa mwanamke ambae amekaa kiuchumi zaidi, mwalimu mwanaume ni mtu wa mshahara mdogo na hafai.
 
njema.huyo rafiki yako hayuko kimapenzi yuko kipesa zaidi koz yeye 1 kwa 1 anaangalia kipato na ni kazi gani bila kutambua kazi yoyte inasongesha lyf.kuna wa2 wanafanya ishu ndogo 2 na wanaishi kwa raha kuliko hata huyo ticha
 
Walimu ni moja ya wafanyakazi ambao wanalipwa mishahara midogo. Pia kumezuka tabia siku hizi, mtu asipofaulu vizuri anaashauriwa akosomee ualimu kitu ambacho kimeifanya fani hii muhimu kudharaulika na wengi. Hili nalo limeingia mpaka kwenye mahusiano. Kwa mwanamke ambae amekaa kiuchumi zaidi, mwalimu mwanaume ni mtu wa mshahara mdogo na hafai.
kazi kweli kweli, nasikia hata ndoa ikiwa na walimu watupu, mwanaume lazima atadharaulika.
 
Sometimes it is good to know what you want in a person you fall for....
But haina maana kua unakua guaranteed kua mipango yako itatimia...
 
Walimu ni moja ya wafanyakazi ambao wanalipwa mishahara midogo. Pia kumezuka tabia siku hizi, mtu asipofaulu vizuri anaashauriwa akosomee ualimu kitu ambacho kimeifanya fani hii muhimu kudharaulika na wengi. Hili nalo limeingia mpaka kwenye mahusiano. Kwa mwanamke ambae amekaa kiuchumi zaidi, mwalimu mwanaume ni mtu wa mshahara mdogo na hafai.

Roho imeniuma saana leo... nimekutana na mtoto wa darasa la tano... anaitwa William aka willy
nimemuambia (tokana na shughuli nilokua nafanya) aandike jina lake.... Kaandika Wele....
Nikamwambia nisomee akasoma "Wile" Roho ikaniuma na For the First time wished
ningekua na access ya moja kwa moja kumuona JK.... And say What i Think 101....
 
Kila professional sasg hivi ina matatizo ,ila nasikitika anayewaza hivyo ni mwalimu atafundisha nini wakati hana vision hawezi ku think outside the box magraduates wa siku hizi bora f.6 wa miaka ya tisini!
 
Habari za jioni wadau? Nipo nabadilishana mawazo na rafiki yangu ambaye anataraji kuajiriwa na kuwa mwalimu, lakini anachonishangaza eti hataki mwanaume ambaye ni mwalimu kama yeye. Jamani hivi mliobahatika kukutana na walimu wana mawazo kama haya au ni huyu tu na tamaa zake? Maana naona kama ananitega, kwani msisitizo wake eti sisi/mimi tuna uhafadhali kwani kuna semina, safari na vikao. Anadai akiolewa na mwalimu hawataweza kusongesha maisha. Ninachojiuliza, hivi hata akipata mwanaume asiye mwalimu kutakuwa na mapenzi ya kweli?

bwana tindikali... hakutegi.. ila nasikitika kukueleza ni ukweli aliyokwambia...

mfano mzuri sisi madactari.. binafsi sitopenda kuoa m.mke ambaye ni dactari.. kamwe hiyo haitakuja kutokea... ningependa yule mwenye kipata mshahara wa chini zaidi.. mfano Mwalimu, nurse.. etcl

i dont know why but ni kama self enstern
 
Habari za jioni wadau? Nipo nabadilishana mawazo na rafiki yangu ambaye anataraji kuajiriwa na kuwa mwalimu, lakini anachonishangaza eti hataki mwanaume ambaye ni mwalimu kama yeye. Jamani hivi mliobahatika kukutana na walimu wana mawazo kama haya au ni huyu tu na tamaa zake? Maana naona kama ananitega, kwani msisitizo wake eti sisi/mimi tuna uhafadhali kwani kuna semina, safari na vikao. Anadai akiolewa na mwalimu hawataweza kusongesha maisha. Ninachojiuliza, hivi hata akipata mwanaume asiye mwalimu kutakuwa na mapenzi ya kweli?
<br />
<br />
kwani we nani?
 
Back
Top Bottom