Hapa Arusha wako wapi watu ambao walikuwa au wanaompenda Lowassa?

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,949
4,633
Wakuu habari ya usiku huu,

Nipo hapa arusha yapata siku ya tatu sasa nimepita mitaa mingi ya wilaya mbili za mkoa huu wa arusha asilimia kubwa ya watu wanamchukia sana Lowasa wanadai hakuna alichofanya alipokuwa kiongozi mkubwa wa serikali hata alipokuwa mbunge.

Wengi wao wanasema Lowasa aliwatawala wala hakuwaongoza kumbe kura zake nyingi alikuwa anazinunua na kulazimisha wagombea wengine wajitoa ili asipate ushindani kwenye uchaguzi.

Jamani kusema kweli nimeshangaa Lowasa anachukiwa siyo mchezo hasa kwa hawa watu wa kawaida wale wenzangu na mimi ukiacha wale matajiri wakubwa wanaotembea na bastola kwenye magari yao mda wote.

Imenifanya nijiulize sana sasa hao watu ambao tulikuwa tunawaona kwenye runinga wakimshangilia Lowasa wako wapi? Mbona asilimia kubwa ya watu wanamchukia? Nimepata shida sana ndugu zangu wa arusha nisaidieni wako wapi hao watu wanaompenda Lowasa au wale waliokuwa wanampenda Lowasa hapa Arusha?
 
Simiyu Yetu

Endelea kuwadanganya wasiokujua, mimi nakufahamu A to Z! huna lolote, na sasa uko zako kigamboni dar es salaam, ila unajifanya kupiga propaganda kuwa uko Arusha!
 
Ukizoea upuuzi kutokana na ujinga unawashwa tu kuuweka hadharani. Njoo nyumbani kwangu familia yangu na majirani hatumtambui JPM rais wa NEC tumamtambua Lowasa rais mioyoni mwetu Tupo Kijenge AICC
 
Wakuu habari ya usiku huu,

Nipo hapa arusha yapata siku ya tatu sasa nimepita mitaa mingi ya wilaya mbili za mkoa huu wa arusha asilimia kubwa ya watu wanamchukia sana Lowasa wanadai hakuna alichofanya alipokuwa kiongozi mkubwa wa serikali hata alipokuwa mbunge.

Wengi wao wanasema Lowasa aliwatawala wala hakuwaongoza kumbe kura zake nyingi alikuwa anazinunua na kulazimisha wagombea wengine wajitoa ili asipate ushindani kwenye uchaguzi.

Jamani kusema kweli nimeshangaa Lowasa anachukiwa siyo mchezo hasa kwa hawa watu wa kawaida wale wenzangu na mimi ukiacha wale matajiri wakubwa wanaotembea na bastola kwenye magari yao mda wote.

Imenifanya nijiulize sana sasa hao watu ambao tulikuwa tunawaona kwenye runinga wakimshangilia Lowasa wako wapi? Mbona asilimia kubwa ya watu wanamchukia? Nimepata shida sana ndugu zangu wa arusha nisaidieni wako wapi hao watu wanaompenda Lowasa au wale waliokuwa wanampenda Lowasa hapa Arusha?
Sio huko tu. Hata wewe unamchukia kwasababu huujui wakati wa ukombozi. Lowassa atabaki kuwa lowassa tu
 
Ccm kura halali mlipata 25% nyingine mlimwibia Lowassa rungwe na mghwira sasa mna hangaika na hilo gap maana ni kubwa, uchaguzi umekwisha sisi ukawa tumekubali mnahangaika nini sasa?
 
Wakuu habari ya usiku huu,

Nipo hapa arusha yapata siku ya tatu sasa nimepita mitaa mingi ya wilaya mbili za mkoa huu wa arusha asilimia kubwa ya watu wanamchukia sana Lowasa wanadai hakuna alichofanya alipokuwa kiongozi mkubwa wa serikali hata alipokuwa mbunge.

Wengi wao wanasema Lowasa aliwatawala wala hakuwaongoza kumbe kura zake nyingi alikuwa anazinunua na kulazimisha wagombea wengine wajitoa ili asipate ushindani kwenye uchaguzi.

Jamani kusema kweli nimeshangaa Lowasa anachukiwa siyo mchezo hasa kwa hawa watu wa kawaida wale wenzangu na mimi ukiacha wale matajiri wakubwa wanaotembea na bastola kwenye magari yao mda wote.

Imenifanya nijiulize sana sasa hao watu ambao tulikuwa tunawaona kwenye runinga wakimshangilia Lowasa wako wapi? Mbona asilimia kubwa ya watu wanamchukia? Nimepata shida sana ndugu zangu wa arusha nisaidieni wako wapi hao watu wanaompenda Lowasa au wale waliokuwa wanampenda Lowasa hapa Arusha?

Watu wengi wamemkibia Lowasa kwakuwa alikuwa ana wapata kwa pesa hata mimi nimeshangaa kuona pale kwake katembelewa na watu watano wakati alikuwa akioneshwa kutembelewa na mamia lakini mara hii wamepungua...Ni wazi hatoi pesa tena zote alichukua Mbowe...
 
Wakuu habari ya usiku huu,

Nipo hapa arusha yapata siku ya tatu sasa nimepita mitaa mingi ya wilaya mbili za mkoa huu wa arusha asilimia kubwa ya watu wanamchukia sana Lowasa wanadai hakuna alichofanya alipokuwa kiongozi mkubwa wa serikali hata alipokuwa mbunge.

Wengi wao wanasema Lowasa aliwatawala wala hakuwaongoza kumbe kura zake nyingi alikuwa anazinunua na kulazimisha wagombea wengine wajitoa ili asipate ushindani kwenye uchaguzi.

Jamani kusema kweli nimeshangaa Lowasa anachukiwa siyo mchezo hasa kwa hawa watu wa kawaida wale wenzangu na mimi ukiacha wale matajiri wakubwa wanaotembea na bastola kwenye magari yao mda wote.

Imenifanya nijiulize sana sasa hao watu ambao tulikuwa tunawaona kwenye runinga wakimshangilia Lowasa wako wapi? Mbona asilimia kubwa ya watu wanamchukia? Nimepata shida sana ndugu zangu wa arusha nisaidieni wako wapi hao watu wanaompenda Lowasa au wale waliokuwa wanampenda Lowasa hapa Arusha?
amini usiamini tinga tinga baada ya kuanza kutumbua majipu na kazi kuonekana wengi waliompigia kura el wakageuka na kujilaumu kumnyima kura jpm. si ajabu hayo unayoyaona huko arusha kwani ndivyo ilivyo tanzania nzima. hapa kazi tu.
 
Hongera kwa kuthubutu kuanzisha thread!

By the way! Uko Arusha ipi? Tutafute wenyeji tukuonyeshe mji wewe kiroboto!
Mkuu mimi siyo kiroboto kama unavyodhani yawezekana hata kiasi cha maisha yako yananitegemea mimi.
 
Back
Top Bottom