Handling finances in marriage.... advice

Dada Pretty,
huyo mumeo mtarajiwa anakuvutia pumzi kwanza uingie kwenye pingu ya kutenganishwa na kifo. Ukishaingia humo utachangia hadi pesa ya kusomesha wadogo zake. Wewe wanaume unatujua au unatuona externally tu, tunabadilika mpaka unashika kichwa unajiuliza vipi hivi huyu ndio yuleyule au ni mwingine au amelogwa.
Husiifurahie sana hali hiyo ukafikiri itaendelea milele, ndoa ni safari jamani

Nawasilisha

hiyo ya wadogo zake nipende akilazimisha atajichosha kwakweli
 
Shishi ulisha ingia ndani ya ndoa tayari..tulete mlejesho aisee..
 
Ahsante shishi kwa hii thread, maana tunaweza kujifunza vizuri mambo ya financial, haswa jinsi ya kushare mnapokuwa kwenye ndoa.
Mie niko mbioni kuja huko ndoani, ila huyu mwenzangu hataki nichangie kitu chochote, ananiambia yeye atabeba majukumu yote kama mwanaume. Mie hadi woga unanishika, maana kama kipato cha kuchangia ninacho, ila yeye anataka kufanya kila kitu. Je yupo sawa hivi kweli? Maana baadhi ya rafiki zangu wanasema eti ndio mwanaume mzuri, maana nitakuwa huru na pesa zangu. Lakini mimi najiona kama vile kuna walakini.
Fanya juu chini changia, mkiwa ndoani hamna cha huyu ama yule. Ntakueleza kitu hapa, ukifata ushauri wa rafiki zako wa hela yko iwe yako pekee yako jiandae kuja kunyanyasika in the future mkitibuana maana hutoweza hata kudai kijiko mkifarakana. Pia ndugu wanamaneno na ukiwa mjane ndio utaisoma namba vizuri. Kipato chko jitahid hata uchangie kodi ya meza, mavazi na bills kama maji,umeme. Pia usiache kununua assets za ndani kama vyombo,makabati,mapazia nk
 
Back
Top Bottom