Hamu ya kufanya mapenzi na walionizidi umri

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,827
23,130
Habari wanna MMU

Naombeni msaada wenu wakuu kuhusu hii hali inayonisumbua.

Wasichana wa umri Wangu sina hamu nao kabisa.
 
wewe mtoto ,mwogope Mungu kwanza mwombe Mungu akuepushe na Hilo SI mambo zuri hasa mama ujaoa
 
Ukipata unachokita utatulia tu, bado utoto unakupeleka peleka...pole ingawa ni hatua katika makuzi hivyo jifunze kudhibiti tamaa za mwili.
 
wewe mtoto ,mwogope Mungu kwanza mwombe Mungu akuepushe na Hilo SI mambo zuri hasa mama ujaoa

hebu jaribu kum nini halafu tuone kama ni kweli,ana nini,manake pengine ana nini kumbe si nini
 
Labda hujiamini ndo mana unafeel kuwa huna hamu nao...Jiamini kijana... hao unaowahitaji ujana wao walikula na nani?
 
wewe mtoto ,mwogope Mungu kwanza mwombe Mungu akuepushe na Hilo SI mambo zuri hasa mama ujaoa
Mimi siyo motto no kijana mkuu
Utoto huu!!.
Utoto gani mkuu
Ukipata unachokita utatulia tu, bado utoto unakupeleka peleka...pole ingawa ni hatua katika makuzi hivyo jifunze kudhibiti tamaa za mwili.
Hakuna utoto Mimi ni kijana mkubwa tu
Unapenda kulelewa?
Hapana
aiseee unapenda kulelewa
Hapana il a naweza kukulea kama upo tayari
Una nyota ya Kinda
Siifahamu mkuu
utakua na jini linaitwa "Jimama" au "Marioo"
Hapana sina jini nmewachoka wasichana hawayajui mapenzi
ngoja siku ukazame kwenye dimbwi la jimama kama sio jidada, ndo utakoma...
Siyo mbaya
team marioo
Ipoje
ukikua utaacha
Nitaacha nini
Labda hujiamini ndo mana unafeel kuwa huna hamu nao...Jiamini kijana... hao unaowahitaji ujana wao walikula na nani?

Hawana jipya nimewala sana mabinti mkuu
 
Mimi siyo motto no kijana mkuu

Utoto gani mkuu

Hakuna utoto Mimi ni kijana mkubwa tu

Hapana

Hapana il a naweza kukulea kama upo tayari

Siifahamu mkuu

Hapana sina jini nmewachoka wasichana hawayajui mapenzi

Siyo mbaya

Ipoje

Nitaacha nini

Hawana jipya nimewala sana mabinti mkuu
nipo tayari nilee basi
 
sasa wewe unaomba msaada wa kuacha hiyo tabia?au umekuja kutuambia tabia yako mana hufanani na mtu anaeomba msaada
 
Back
Top Bottom