Hamas yawakabidhi mateka Kaskazini mwa Gaza ambapo majeshi ya Isreal yadai yameuteka. Isreal washangaa yanayotokea

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936
Al Jazeera:Al-Qassam Brigades handed over prisoners in the northern Gaza Strip with the population, confirming Israeli statements that Israel has lost control of the northern Gaza Strip.(Israel had declared the northern area a dangerous war zone and banned the passage of civilians)

Juzi na jana makabidhiano yalikua kusini mwa gaza lkn leo kaskazini mwa gaza ambapo dunia yote inashangaa . Isreal inapiga misikiti , makanisa , shule huku Hamas wakiwaua mamia ya majeshi
Video inafuata

View: https://x.com/WarMonitors/status/1728833755404730821?s=20
 
Hii inaonyesha kuwa kuna maeneo Israel akiingia ni kama kujitoa muanga. Inaelekea wapo pembeni pembeni na kinachowasaidia kuonekana wapo ni kwasababu ya mashambulizi ya kutumia ndege
 
Hivi unaelewa kuwa magaidi yamevaa kiraia?
Vita na magaidi ni ngumu sana.
Gaza kuanzia watoto na wanawake ni magaidi, ukiwaua wanapiga picha na kutuma UN kuwa watoto na wanawake wanauawa kumbe yote magaidi.
 
Hakuna vita mbaya ya kupigamiwa kwenu...hapo walishachorwa kote njia waliotumia na walipokwepo...utashangaa wakidakwa mmoja baada ya mwingine. Drone zisizoonekana yameshchukua picha zote. Kazi wanayo.
 
Malengo Yapo Matatu 1 kuliangamiza kabisa Kundi la Hamas lisiwepo Duniani [2] Kurudisha Mateka Wote walio tekwa [3]Gaza iwe Sehem Salama Kwa Usalama Wa Israel na Eneo Zima Na Malengo hayo Uwezo Upo hakuna Wa kuzuia ,
 
Hakuna vita mbaya ya kupigamiwa kwenu...hapo walishachorwa kote njia waliotumia na walipokwepo...utashangaa wakidakwa mmoja baada ya mwingine. Drone zisizoonekana yameshchukua picha zote. Kazi wanayo.
Wewe hata Gobole hujashija unajua hili.

Hao wako vitani miaka, washashuhudia sana hizo drones ambayo hujawahi hata kuiona kwa macho , UAVs, makombora na kila kitu wamezishuhudia kimatendo, HALAFU wasiwaze unachokiwaza wewe yaani.🤣
 
Hakuna vita mbaya ya kupigamiwa kwenu...hapo walishachorwa kote njia waliotumia na walipokwepo...utashangaa wakidakwa mmoja baada ya mwingine. Drone zisizoonekana yameshchukua picha zote. Kazi wanayo.
Utadhani makamanda wa chadema wale?
 
Magaidi wanawatumia mateka wa kiraia kama ngao yao ili wapate chakula dawa na mafuta
 
Al Jazeera:Al-Qassam Brigades handed over prisoners in the northern Gaza Strip with the population, confirming Israeli statements that Israel has lost control of the northern Gaza Strip.(Israel had declared the northern area a dangerous war zone and banned the passage of civilians)

Juzi na jana makabidhiano yalikua kusini mwa gaza lkn leo kaskazini mwa gaza ambapo dunia yote inashangaa . Isreal inapiga misikiti , makanisa , shule huku Hamas wakiwaua mamia ya majeshi
Video inafuata

View: https://x.com/WarMonitors/status/1728833755404730821?s=20

Hii ni kali kweli na ushindi mkubwa kwa Hamas ndio maana siku ya tatu Israel ya makabidhiano haya Israel ikaamua kuzima intaneti yote kaskazini ya Gaza.
Hata mtangazaji naye kashangaa na akarudia mara kadhaa sentensi kuwa mateka wamekabidhiwa kwenye mji wa Gaza.
Na cha kushangaza zaidi Hamas wameingia na mateka wao kibabe kwenye pick up zao na kusababisha umati kushangilia.Allahu Akbar
 
Back
Top Bottom