HAMAS wakiri kupoteza magaidi 6,000

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Japo inafahamika wamekufa wengi, ila wao wamekiri waliouawa ni 6,000 yaani mabikira yanapelekewa moto...

A Hamas official based in Qatar told Reuters that the group estimated it had lost 6,000 fighters during the four-month-old conflict, half the 12,000 Israel says it has killed.
=============

DOHA, Feb 19 (Reuters) - Israel expects to continue full-scale military operations in Gaza for another six to eight weeks as it prepares to mount a ground invasion of the enclave's southernmost city of Rafah, four officials familiar with the strategy said.
Military chiefs believe they can significantly damage Hamas' remaining capabilities in that time, paving the way for a shift to a lower-intensity phase of targeted airstrikes and special forces operations, according to the two Israeli and two regional officials who asked to remain anonymous to speak freely.
 
Kichwa cha habari tu kinatosha kuonesha biasness yako. Kwani ukiandika habari kwa sura yake halisi inakuwa haipokelewi na wasomaji mpaka utie chumvi na kuwapandikizia fikra zako wasomaji?

Habari inapokuwa hainogi mpaka itiwe chumvi ni ishara tosha ya uongo na propaganda za hiyo habari.
 
Huu ni mtandao wa kijamii sio tovuti la gazeti ly Aljazeera au CNN, tunaleta taarifa na kuchomekea maoni humo, ikikuuma unapita, mtapelekewa moto hadi mtie akili.
 
Kubishana kwa kuegemea kwenye hisia binafsi ni sifa ya ujinga!

Mimi kwakuwa nataka nijiwe mbali na ujinga basi sitaki kubishana juu ya vipi natamani kitu kiwe, badala yake nadhani ikiwa nitajadili jambo ni bora liwe katika facts za hilo jambo na si matamanio yangu.
 
Ni huzuri kuona wanadamu wa pande zote mbili wanakufa, bila kumpokea Mwokozi wa ulimwengu huu, that means wanaenda moja kwa moja jehanum ya moto. Mungu wetu, Mungu wa kweli hafurahii kifo cha mwenye dhambi, hata kama sisi tutafurahia kwamba gaidi au mwizi au mchawi kafa, Mungu hafurahii, anatamani kila mmoja wetu atubu asafishwe moyo ili kama akifa basi akaurithi uzima wa milele au kama ataendelea kuishi aishi akiwa mikononi mwa Mungu, sio mikononi mwa Ibilisi.

Imagine, 6,000 wote wamekufa wakiamini imani ya uongo kabisa, ya mungu baal, mungu wa kiarabu asiyeweza kuokoa hata unywele tu, na kwa wayahudi, wote waliokufa iwe kwa october 7 au wakati wa vita, hawamwamini Yesu Kristo, wanaishi kwa kufuata matendo ya mwili (kama tu wafanyavyo wasabato), wamesahau kuwa kwa matendo ya mwili (sheria) hapana mwenye mwili atakayempendeza Mungu, tumeokolewa kwa neema na sio kwa kujitahidi kufanya matendo mema kwa nguvu zetu, ajabu yake, Mungu ameleta mlango wa neema, lakini watu bado wanakimbilia mlango wa kuhesabiwa haki kwa matendo ya sheria, ambako tulishashindwa hadi Mungu akaunda mlango wa Neema, ni neema tu ya Mungu tunashinda dhambi, na pale tunapokosea tukirejea kwake kwa kutubu kwa kumaanisha kuacha dhambi anatusamehe na tunakuwa wasafi tena.

nawasihi nyote mtakaosoma hapa, kama haujaokoka jua kuwa siku yeyote ukifa unaenda moja kwa moja motoni, wokovu umeletwa kwa hiari, uchague uzima au mauti, vyote vipo mbele yako, kwa kuwa "Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu"(Rum. 10:9-18).

Unachotakiwa kufanya ni kumkiri ukimaanisha sasa kumpa maisha yako ayaongoze, yeye atakupatia Roho Mtakatifu ambaye atakuongoza uishi maisha masafi na utakuwa na uhakika wa uzima wa milele. pia itakupasa ujiunge na watu wenye imani sawa na wewe, imani ya wokovu ili uukulie wokovu. wengi huwa wanakuwa wabishi hadi siku wakikamatika na magonjwa au hatari fulani wanakumbuka shuka kukiwa kumeshakucha. 2 Wakorintho; inasema, Kwa maana asema, wakati uliokubalika nalikusikia, siku ya wokuvu nalikusaidia; tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama siku ya wokovu ndio sasa. usiseme nitaokoka kesho, okoka leo, kwasababu hujui utakufa kifo cha ghafla ukaenda mautini na mapombe yako, na uzinzi wako na dhurma zako n.k, kifo hakipigi hodi, wengine wanaamka asubuhi na mipango kibao, wanafika barabarani wanagongwa na kufariki hata kabla hawajasema Mungu nisamehe dhambi, hivyo wanaenda nazo.

Mvuvi mmoja aliyewahi kuwa mwanafunzi wa Yesu, mtu asiye kuwa na kisomo baada ya kushukiwa na Nguvu za Mungu, wayahudi walimwuliza, tufanye nini sasa?

Matendo 2:38 - 39 Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na kwa watoto wenu, na kwa watu wote walio mbali, na kwa wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu wamjie.

Kama una uhitaji wa kumpokea Yesu hata sasaivi uokoke, sali sala hii pamoja na mimi: Sema,

EE MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI, MUNGU WA IBRAHIM ISAKA NA YAKOBO, NAKUJA KWAKO KWA NJIA YA KAFALA LA KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI, MBELE ZAKO MIMI NI MWENYE DHAMBI (ZITAJE KAMA UNAZIKUMBUKA), NAAMINI MOYONI MWANGU KWAMBA YESU KRISTO ALIKUFA KWA AJILI YA UKOMBOZI WANGU, NINAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE, UFUTE JILA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ANDIKA JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NINAMKIRI YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU KUANZIA SASA, NAOMBA UNIPATIE KIPAWA CHA ROHO MTAKATIFU ANIONGOZE, KUANZIA SASA MIMI NI MALI YAKO. KWA JINA LA YESU KRISTO, AMEN.

kama umeomba sala hii kwa kumaanisha moyoni mwako, sasa umeokoka, umesamehewa dhambi zako zote, na wewe ni mali ya Yesu Kristo, tafuta watu wenye imani sawa na wewe ujiunge nao ili ufundishwe wokovu, ukikosea tubu dhambi, endelea na maisha ya wokovu. Mungu akubariki.
 
Wapo wengine huku Tandale na kule shimo la punda, mangesani na manzese, ila wao kazi yao ni kubishana tu na kutukana watu hapa Jf ila hawana msaada wowote ule kwa Wapalestine na kwa magaidi hayo

Huu nao ni uhuni tu wa kuchochea wengine ili wakafe halafu wao wanakula ngunga kama kawa, ukiwauliza, Je mabikira hawawataki? Wanasema wanataka! Mbona hawachukui hatua wala kuchangamkia? Hapo wanakaa kimya!
 
Na kama dunia tumetengeneza Magaidi wengine wangapi ? Inahitaji busara sana kuweza kupigana na Magaidi; Ni kwamba kwa hii mihemko tunewapa fodder / Chakula (wanaofanya recruitment ya Magaidi)...; Kwahio hata kama ni kuua / kuwaondoa haya mambo yangefanywa kwa siri na underground sio kuyafanyia promo....
 
Japo inafahamika wamekufa wengi, ila wao wamekiri waliouawa ni 6,000 yaani mabikira yanapelekewa moto...

A Hamas official based in Qatar told Reuters that the group estimated it had lost 6,000 fighters during the four-month-old conflict, half the 12,000 Israel says it has killed.
=============

DOHA, Feb 19 (Reuters) - Israel expects to continue full-scale military operations in Gaza for another six to eight weeks as it prepares to mount a ground invasion of the enclave's southernmost city of Rafah, four officials familiar with the strategy said.
Military chiefs believe they can significantly damage Hamas' remaining capabilities in that time, paving the way for a shift to a lower-intensity phase of targeted airstrikes and special forces operations, according to the two Israeli and two regional officials who asked to remain anonymous to speak freely.
Walikuwepo makafiri wakubwa makka kuliko kafiri wewe lkn hawakuuzia uislam kusambaa. Hadi Marekani na Ulaya uislam unakua kwa kasi
 
Kichwa cha habari tu kinatosha kuonesha biasness yako. Kwani ukiandika habari kwa sura yake halisi inakuwa haipokelewi na wasomaji mpaka utie chumvi na kuwapandikizia fikra zako wasomaji?

Habari inapokuwa hainogi mpaka itiwe chumvi ni ishara tosha ya uongo na propaganda za hiyo habari.
Hahaahha Mr uharo huyo🤣
 
Wapo wengine huku Tandale na kule shimo la punda, mangesani na manzese, ila wao kazi yao ni kubishana tu na kutukana watu hapa Jf ila hawana msaada wowote ule kwa Wapalestine na kwa magaidi hayo

Hii nao ni uhuni tu wa kuchochea wengine ili wakafe halafu yeye anakula ngunga kama kawa, ukiwauliza, Je mabikira hawawataki? Wanasema wanataka! Mbona hawachukui hatua? Hapo wanakaa kimya!
Muisrael mweusi wa Uloye anatamba JF🤣🤣🤣
 
Sema mashabiki wa uislam wewe sio uislam. Tuko mtaan na wanaojiita waislamu wanapiga mdudu na kunywa pombe kama kawa. Sasa cjui na wao ni waislamu
Tatizo lenu mnalazimisha watu wfanane😅😅😅...Hata ale ila dini hairuhsu .
 
Ni huzuri kuona wanadamu wa pande zote mbili wanakufa, bila kumpokea Mwokozi wa ulimwengu huu, that means wanaenda moja kwa moja jehanum ya moto. Mungu wetu, Mungu wa kweli hafurahii kifo cha mwenye dhambi, hata kama sisi tutafurahia kwamba gaidi au mwizi au mchawi kafa, Mungu hafurahii, anatamani kila mmoja wetu atubu asafishwe moyo ili kama akifa basi akaurithi uzima wa milele au kama ataendelea kuishi aishi akiwa mikononi mwa Mungu, sio mikononi mwa Ibilisi.

Imagine, 6,000 wote wamekufa wakiamini imani ya uongo kabisa, ya mungu baal, mungu wa kiarabu asiyeweza kuokoa hata unywele tu, na kwa wayahudi, wote waliokufa iwe kwa october 7 au wakati wa vita, hawamwamini Yesu Kristo, wanaishi kwa kufuata matendo ya mwili (kama tu wafanyavyo wasabato), wamesahau kuwa kwa matendo ya mwili (sheria) hapana mwenye mwili atakayempendeza Mungu, tumeokolewa kwa neema na sio kwa kujitahidi kufanya matendo mema kwa nguvu zetu, ajabu yake, Mungu ameleta mlango wa neema, lakini watu bado wanakimbilia mlango wa kuhesabiwa haki kwa matendo ya sheria, ambako tulishashindwa hadi Mungu akaunda mlango wa Neema, ni neema tu ya Mungu tunashinda dhambi, na pale tunapokosea tukirejea kwake kwa kutubu kwa kumaanisha kuacha dhambi anatusamehe na tunakuwa wasafi tena.

nawasihi nyote mtakaosoma hapa, kama haujaokoka jua kuwa siku yeyote ukifa unaenda moja kwa moja motoni, wokovu umeletwa kwa hiari, uchague uzima au mauti, vyote vipo mbele yako, kwa kuwa "Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu"(Rum. 10:9-18).

Unachotakiwa kufanya ni kumkiri ukimaanisha sasa kumpa maisha yako ayaongoze, yeye atakupatia Roho Mtakatifu ambaye atakuongoza uishi maisha masafi na utakuwa na uhakika wa uzima wa milele. pia itakupasa ujiunge na watu wenye imani sawa na wewe, imani ya wokovu ili uukulie wokovu. wengi huwa wanakuwa wabishi hadi siku wakikamatika na magonjwa au hatari fulani wanakumbuka shuka kukiwa kumeshakucha. 2 Wakorintho; inasema, Kwa maana asema, wakati uliokubalika nalikusikia, siku ya wokuvu nalikusaidia; tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama siku ya wokovu ndio sasa. usiseme nitaokoka kesho, okoka leo, kwasababu hujui utakufa kifo cha ghafla ukaenda mautini na mapombe yako, na uzinzi wako na dhurma zako n.k, kifo hakipigi hodi, wengine wanaamka asubuhi na mipango kibao, wanafika barabarani wanagongwa na kufariki hata kabla hawajasema Mungu nisamehe dhambi, hivyo wanaenda nazo.

Mvuvi mmoja aliyewahi kuwa mwanafunzi wa Yesu, mtu asiye kuwa na kisomo baada ya kushukiwa na Nguvu za Mungu, wayahudi walimwuliza, tufanye nini sasa?

Matendo 2:38 - 39 Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na kwa watoto wenu, na kwa watu wote walio mbali, na kwa wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu wamjie.

Kama una uhitaji wa kumpokea Yesu hata sasaivi uokoke, sali sala hii pamoja na mimi: Sema,

EE MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI, MUNGU WA IBRAHIM ISAKA NA YAKOBO, NAKUJA KWAKO KWA NJIA YA KAFALA LA KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI, MBELE ZAKO MIMI NI MWENYE DHAMBI (ZITAJE KAMA UNAZIKUMBUKA), NAAMINI MOYONI MWANGU KWAMBA YESU KRISTO ALIKUFA KWA AJILI YA UKOMBOZI WANGU, NINAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE, UFUTE JILA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ANDIKA JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NINAMKIRI YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU KUANZIA SASA, NAOMBA UNIPATIE KIPAWA CHA ROHO MTAKATIFU ANIONGOZE, KUANZIA SASA MIMI NI MALI YAKO. KWA JINA LA YESU KRISTO, AMEN.

kama umeomba sala hii kwa kumaanisha moyoni mwako, sasa umeokoka, umesamehewa dhambi zako zote, na wewe ni mali ya Yesu Kristo, tafuta watu wenye imani sawa na wewe ujiunge nao ili ufundishwe wokovu, ukikosea tubu dhambi, endelea na maisha ya wokovu. Mungu akubariki.
Hapa mi ndo mnapokuwa mnanihuzunisha nyie ndugu zangu! Imani si zawadi eti mi leo niamke na niseme naamua kumzawadia imani yangu fulani! Imani ni kuridhika juu ya ukweli wa jambo lisoloonekana kwa kupitia dalili za wazi zilizoletwa na hicho kinachotakiwa kuaminiwa.

Wewe ukianza 'usipomkiri Yesu unaenda motoni...' hii ni kama kumwambia mtoto usipokula chakula chako jinamizi litakukaba usiku! badala yake wekeza katika kutoa dalili za wazi za kuthibitisha ukweli wa unachokisema. Na hizo dalili pia sio eti 'imeandikwa kuwa yeye ni muokozi n.k' manake mara nyingi ndo huwa mnaishia hapo! kama kuandikwa, waislamu wana maandiko yako, Hindu wana maandiko yao, Mayahudi wana mandiko yao, Budha wana maandiko yao n.k. Sasa kwanini mtu aamini maandiko yenu nyie na sio mengine?

The minute utapogundua imani sahihi hupatikana vipi ndio hapo utakapokomboka kiimani.
 
Kubishana kwa kuegemea kwenye hisia binafsi ni sifa ya ujinga!

Mimi kwakuwa nataka nijiwe mbali na ujinga basi sitaki kubishana juu ya vipi natamani kitu kiwe, badala yake nadhani ikiwa nitajadili jambo ni bora liwe katika facts za hilo jambo na si matamanio yangu.

Sio lazima tujadili utakavyo wewe, acha udikteta, humu ni kama kijiweni, huna mamlaka ya kulazimisha watu wajadili vipi, habari zikiletwa kila mmoja ana uhuru wa maoni na ndio maana JF.....kauli mbiu ya JF ni "Where We Dare To Talk Openly".
Humu utaambiwa usichokitaka, utachagua umeze au uteme, mimi nimeambiwa na pia nimewawmbia...
 
Walikuwepo makafiri wakubwa makka kuliko kafiri wewe lkn hawakuuzia uislam kusambaa. Hadi Marekani na Ulaya uislam unakua kwa kasi

Hadithi za waarabu bado zinakupagawisha
Nikupe hadithi nyingine, huyo 'mungu' wenu alishindwa kwenye mtanange wa nabii Elija na manabii wa huyo 'mungu' wenu.
 
Back
Top Bottom