Hamad Rashid na Yusuph Manji siri kubwa

WOWOWO

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
590
430
Niko kwenye Ofisi moja ya Serikali hapa Posta kuna jamaa anatoa stori kuwa Mbunge wa Wawi (CUF) Hamad Rashid na Mfanyabiashara mwenye kashfa lukuki Yusuph Manji wako mbioni kuanzisha kampuni ya Simu za mkononi ya Talk-tel. Jamaa anaeleza kuwa hata kwenye Kampuni ya Zantel Bw. Manji ana shares nyingi kuliko mtu yeyote.

Jamaa huyo ametoa taarifa nyingine iliyonishtua kwamba, Spika wa Bunge Anne Makinda ni makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania!

I have no comment, any one with exclusive details on this.
 
well and good..we'll probably get the best phone services at a low cost as opposed to tigo & airtel wanaotuibia mchana kweupe na deal zao za kuongea kwa robo shilling after 11pm:dance:
 
Hamad rashid ni share holder wa kampuni ya 4G MOBILE yupo na KARAMAGI na watu wengine kama watano si hiyo TALKTEL ya manji.
 
Hii kampuni ipo kweli lakini watu wake wote wote wamekaa kitapeli tapeli hawaeleweki kuna kipindi nilishafika ofisini kwao walikuwa wanahitaji laptops 5 za kuanzia kazi wako Kawe wamepangisha nyumba ya Basil Mramba na Upande mwingine nyumba ya Hamad Rashid ziko mtaa mmoja zinaangaliana.
 
pana ubaya gani watu kuanzisha kampuni ya cm. kama una madai dhidi ya mtu yaanike kwa ushahidi. ACHA WIVU WA KIJINGA! AU KWA SBB MANJI HAELEWANI NA MENGI mchagga mwenzio?
 
Niko kwenye Ofisi moja ya Serikali hapa Posta kuna jamaa anatoa stori kuwa Mbunge wa Wawi (CUF) Hamad Rashid na Mfanyabiashara mwenye kashfa lukuki Yusuph Manji wako mbioni kuanzisha kampuni ya Simu za mkononi ya Talk-tel. Jamaa anaeleza kuwa hata kwenye Kampuni ya Zantel Bw. Manji ana shares nyingi kuliko mtu yeyote.

Jamaa huyo ametoa taarifa nyingine iliyonishtua kwamba, Spika wa Bunge Anne Makinda ni makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania!

I have no comment, any one with exclusive details on this.
WOWOWO, unakumbuka siku chache kulikuwa na mjadala wa 'promotion? Angalia kwenye website ya Vodacom kama utaona 'Corporate" information za kampuni na hasa board of Directors. Lakini Safaricom - Kenya kila kitu kipo wazi!
 
Last edited by a moderator:
Niko kwenye Ofisi moja ya Serikali hapa Posta kuna jamaa anatoa stori kuwa Mbunge wa Wawi (CUF) Hamad Rashid na Mfanyabiashara mwenye kashfa lukuki Yusuph Manji wako mbioni kuanzisha kampuni ya Simu za mkononi ya Talk-tel. Jamaa anaeleza kuwa hata kwenye Kampuni ya Zantel Bw. Manji ana shares nyingi kuliko mtu yeyote.

Jamaa huyo ametoa taarifa nyingine iliyonishtua kwamba, Spika wa Bunge Anne Makinda ni makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania!

I have no comment, any one with exclusive details on this.

WOWOWO wowowo kweli..sasa wewe wabongo wanaongea mangapi mitaani..sasa wewe kila story ya mitani unataka kutujazia server yetu....
kawambie hakuna ajab kwa wao kufungua company ya simu...watu watapata kazi na serikali itapata kodi
na manji hana chake zantel , hiyo inamiliokiwa na SMZ 17%, MICO 22% AND THE REST OWNED BY ETISALAT OF DUBAI
 
....tatizo ni hamadi rashid, mzanzibar, kuwa sehem ya uwekezeshaji huo wakati punde tu..! sisi watanganyika na wao wazanzibar, tunaingia kwenye transition period kwa lengo la "kugawana mbao"... hii itakuwa ni nyongeza ktk shida tutakazokabiliana nazo ktk kipindi hiko...
 
Si ajabu Makinda kuwa Makamu wa bodi ya Vodacom,kama mnakumbuka hata Msekwa aliwahi kuwa mjumbe wa bodi na alikuwa na share moja.Hii ndiyo bongo bwana.
 
Sijaona cha kushanganza hapo wacha watu wa wekeze nyumbani sema kama unachuki nao binafsi
 
Ha ha haa, Rais mstaafu mkapa alikuwa anasema Wivu wa Kijinga! japo simsapoti sana kwa sababu issue ni kwamba, asingekuwa mbunge angepata nafasi hiyo ya kuwa Makamu Mwenyekiti? Kama ndiyo haina issue, kama siyo basi hili ni tatizo, na ndicho kinaendelea sana Tanzania. Barick Group walimchagua mwapachu! Lakini jamaa ni jembe toka enzi za PwC!
 
Sasa kwani kuna ubaya gani akianzisha iyo kampuni?? Waswahili bana!! Na ishu ya hamad rashid kuanzisha kampuni ya simu sio leo tu, ipo kitambo sana tu!! Pole ndugu, haya kesho njoo utufungulie mada kikwete kanunua boti ya sea xpress, mana ata sijui waswahili wana nini, pesa yake mwenyewe kisha unataka kimpangia vya kitumia, unechuma nae? GET A LIFE
 
Back
Top Bottom