Hamad Masauni Yussuf..... Unamjua?

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,420
2,271
Hamad ndie mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana CCM, pengine huu ndio wakati muafaka wa kuweza kumjua vema mwenyekiti huyu mpya. Wasifu wake na historia yake, Je Umoja wa Vijana na Watz kwa ujumla wategemee nini kutoka kwa Hamad ambae ndio kwanza anaanza kupanda ngazi katika siasa za Tanzania.

Hamad ni mmoja wa Watz ambae yupo kwenye forums mbali mbali kwa muda mrefu sasa, nakumbuka kukutana nae katika Nyezi.com miaka ile, na baadae kwenye kijiwe cha youngafricans.com. Hata hivyo kwenye forums hizo hakuwa mchangiaji wa mada zaidi ya kuwa msomaji. Sina wasiwasi kuwa hata hapa yupo yupo...

Well, ni vema kumjua Mwenyekiti huyu, na Iwapo yupo tayali ni vema nae akajiunga katika mada hii na kutupa yake machache juu ya kazi yake hiyo mpya...!
 
Last edited:
Hamad ndie mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana CCM, pengine huu ndio wakati muafaka wa kuweza kumjua vema mwenyekiti huyu mpya. Wasifu wake na historia yake...

Well, ni vema kumjua Mwenyekiti huyu[/COLOR], na Iwapo yupo tayali ni vema nae akajiunga katika mada hii na kutupa yake machache juu ya kazi yake hiyo mpya...!

Too late!

Hah hahahaha.....

Hili ndio kosa tunafanya kiiiila siku!

Inabidi tuwe tunapata tambala (info) la mgombea kabla ya kumpigia kura!
 
Inaweza kuwa Too late iwapo wajumbe wa Umoja huo husubiri maoni toka JF...
 
Siyo mbaya mwenye info zake azimwage tu.Tunataka kumfahamu huyu kijana zaidi baada ya kupata hicho cheo cha UVCCM.Wakati mwingine huwa hawa ndiyo wanadetermine mustakabali wa nchi yetu wakati wa teuzi za wagombea wa vyama vyao.
 
kwa raha zake wakina lowassa na rostam watupu wamepandikizwa ...si nyalisa mm malisa wala nsauni haya tusikie watakavyokula kwenye maataba wa pale ....

byee
 
Too late!

Hah hahahaha.....

Hili ndio kosa tunafanya kiiiila siku!

Inabidi tuwe tunapata tambala (info) la mgombea kabla ya kumpigia kura!

Kuhani ni kuhani tu!!! you said these in 2008 and in 2010 we definitely see what you meant!!

the good ol'JF in the flesh!!!
 
Kuhani ni kuhani tu!!! you said these in 2008 and in 2010 we definitely see what you meant!!

the good ol'JF in the flesh!!!

Kuhani,Mama,Dilunga,YNIM,GT.........Kibunango naye ndo hivo tena............Sijui wako wapi hawa
 
Kuhani,Mama,Dilunga,YNIM,GT.........Kibunango naye ndo hivo tena............Sijui wako wapi hawa

Nakumbuka YNIM,KUHANI,DILUNGA walivyokuwa wanapigana madongo na Nyani Ngabu ,ukweli JF hii imepoza mno.Hata Mzee wa Dataz nae kaingia mitini sijui amepata jimbo
 
Kuhani ni kuhani tu!!! you said these in 2008 and in 2010 we definitely see what you meant!!

the good ol'JF in the flesh!!!

Naona Kijana mzee alikalia mafile yote watu wakishindwa kupekenyua sasa hivi yamefumuka.
 
Nakumbuka YNIM,KUHANI,DILUNGA walivyokuwa wanapigana madongo na Nyani Ngabu ,ukweli JF hii imepoza mno.Hata Mzee wa Dataz nae kaingia mitini sijui amepata jimbo
mzee wa dataaz ndo mpambe HALISI wa NAPE NNAUYE ubunge-ubungo,
tupo nae dar hapa kwenye kampeni
 
Back
Top Bottom