Halow jf

BCR

Senior Member
Mar 16, 2011
101
12
Nimeingia kwa maamuzi binafsi,
naomba great thinkers mnipokee, pamoja tusaidiane tujenge taifa letu.
 
Karibu BCR! Jisikie uko nyumbani....wakuu wa kamati yamapokezi....kina Katavi et al wametoka kidogo, lakini muda si mrefu watarudi na kukukaribisha rasmi!

asl?
 
Ahahahahaaah papa Diana......mgeni karibu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom