Tatzo la Airtel mtandao ni mbovu. 4G yao yaani hata 3G ya Voda ina afadhali. Utopolo tu. Mm nimerudi TTCL tu nimekubaliana na haliAirtel ndo wanaanza kupotea tyuuh yaan aaah, mie soon nahamia halotel
Uko sahihi airtel mtandao uko slow na unasumbua sana.Tatzo la Airtel mtandao ni mbovu. 4G yao yaani hata 3G ya Voda ina afadhali. Utopolo tu. Mm nimerudi TTCL tu nimekubaliana na hali
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu unayomiliki umeitengeneza wewe!? Imagine wangeweka iwe ya periodic servicing kama Bastola na Bunduki, na kwamba haiwezi kuwa private device. Fikiria kidogo sawa!? Tatizo mnawahi sana kuvizoea vitu vya jirani!!!
Yap! Yaani inaboa sana aisee, inadownload watsap siku2 na bado imeshindwa kuimaliza inajirudia rudia hivyo hivyoHalotel wauni. Kama unapakua kitu, kabla hakijamalizika kwa 100%, net inakuwa interrupted ghafla halafu unatakiwa uanze upya kutoka 0%. So unajikuta Mbs zinapotea pasipo kukamilisha malengo yako.
Yap! Yaani inaboa sana aisee, inadownload watsap siku2 na bado imeshindwa kuimaliza inajirudia rudia hivyo hivyo
Halotel wauni. Kama unapakua kitu, kabla hakijamalizika kwa 100%, net inakuwa interrupted ghafla halafu unatakiwa uanze upya kutoka 0%. So unajikuta Mbs zinapotea pasipo kukamilisha malengo yako.
Unatumia simu ya Aina gani?
Si swala la simu, natumia kwenye PC pia.Unatumia simu ya Aina gani.
Halotel wanajitahidi sanaa.hata vifurushi vyao ni rafiki kabisa