HALLOWEEN: bONGO bANA

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,360
Siku hizi kuna kila jitihada za kuiga umagharibi hapa kwetu, hivi kuelekea weekend nimepata mialiko zaidi ya minne yote inahusu halloween, kuna party golden tulip, malaika(next to cine club), kempisk(level8) sijui na wapi na wapi hiyo jumamosib sasa swali linalobaki kichwani kwangu hivi lazima kuiga hivi vitu? Lakini bora ya hao kuliko hao wanaotafuta wasnii waliofulia huko kuja kutuletea hapa bongo, ati mtu kama Busta rhymes anafanya show dar jamani hata kama ni kutafuta urahisi hii sasa too much..tunaendesha used cars mnatuletea na used burudani hebu acheni hizo.
 
Huku mikoani kuzuri sana jamani ...mhh...?
Hakuna matabu yote hayo ya sijui manininini...!
Sanasana huku ni mialiko ya harusi tuu basi!
 
Busta is a great performer. Hiyo Halloween angalau italeta variety kidogo maana kila siku ni yale yale tu!
 
Burn habari zako, kuna mtu alituhabarisha eti ulikuwa unahojiwa na TAKUKURU ...thibitisha hizi habari!
 
Ndo ivo,, 'wezi' wetu wanajua pa kutukamatia, hata kama hiyo halowini haina maana wala mantiki yoyote kwetu! tusishangae miaka 5 ijayo ikawa ni full fledged kabisa ikijumuisha parades na uvaaji wao wa kiajabu ajabu
 
WTF? Hallowen? hilo sherehe la kishetani waachiue wakina Nyani Ngabu AKA Julius
 
We are witnessing Globalisation taking a full swing in Bongo! Bongos Entrepreneurs are exploiting every chance they could get, ni biashara tu, watu wanaibua visherehe vya kijinga ili wawakamue vijisenti, ilianza sijui kitchen party mara valentine, siku ya kuzaliwa kiongozi sherehe! Kuna na sherehe za siku ya kufa kiongozi! Sasa inakuja huku kwenye Halloween na kaa mkao wa kula soon you will see thanksgiving day, queen's day, bonfire nights, Kwanzaa, hata kama na wewe ni mjasiriamali vilevile njoo na ya kwako Burn's Day watu wataserebuka, hawa ndio wadanganyika banaa, everyday is a holiday!
 
WTF? Hallowen? hilo sherehe la kishetani waachiue wakina Nyani Ngabu AKA Julius

hapo, agreed kabisa mpwa.....sijui tumepatwa na nini lakini ndo utandawazi huo, siye hatuchagui pumba wala mchele tunasombwa tu!
 
Wabongo bwana! Have some fun in your life! Vaa costume, nenda ukaenjoy.
Kulalamika tu kila kitu amabacho sio tradition ya bongo, utafikiri wote wazee wenye miaka 90, lakini kukaa bar daily hakuna tatizo, ovyo kweli.
 
Madogori wanayapunga lakini? Au wanajua Halloween ya wenzetu hata madogori yao hawayajui?

Kama wanayapunga ruksa.

This year Halloween falls on a weekend,
Me and Geto boys are trick-or-treating..

My mind is playing tricks on me
-Geto Boyz

Na wale waliokuwa wanaimba na kukucheza hizi lyrics bila kuzielewa nao vipi?
 
....Then I felt just like a fiend,
It wasn't even close to halloween..
 
Siku hizi kuna kila jitihada za kuiga umagharibi hapa kwetu, hivi kuelekea weekend nimepata mialiko zaidi ya minne yote inahusu halloween, kuna party golden tulip, malaika(next to cine club), kempisk(level8) sijui na wapi na wapi hiyo jumamosib sasa swali linalobaki kichwani kwangu hivi lazima kuiga hivi vitu? Lakini bora ya hao kuliko hao wanaotafuta wasnii waliofulia huko kuja kutuletea hapa bongo, ati mtu kama Busta rhymes anafanya show dar jamani hata kama ni kutafuta urahisi hii sasa too much..tunaendesha used cars mnatuletea na used burudani hebu acheni hizo.

Anza kuondoa avatar yako kwanza ilikwa kweli hupendi kuiga!
 
This year Halloween falls on a weekend,
Me and Geto boys are trick-or-treating..

My mind is playing tricks on me
-Geto Boyz

Na wale waliokuwa wanaimba na kukucheza hizi lyrics bila kuzielewa nao vipi?

This year Halloween fell on a weekend
Me and Geto Boys are trick-or-treatin'
Robbin' little kids for bags
Till an old man got behind our rags
So we speeded up the pace
Took a look back, and he was right before our face
He'd be in for a squabble no doubt
So I swung and and tried to take him out
He was goin' down, we planned
But this wasn't no ordinary man
He stood about six or seven feet
Now, that's the creep I'd be seein' in my sleep
So we triple-teamed on him
Droppin' them 5th ward B's on him
The more I swung the more blood flew
Then he disappeared and my boys disappeared too
Then I felt just like a fiend
It wasn't even close to Halloween
It was dark as death on the streets
My hands were all bloody from punchings on the concrete
God damn, homie
My mind is playin' tricks on me

Nasikia Little big man Bushwick Bill ameokoka siku hizi?
 
Back
Top Bottom