Halima Mdee: Upinzani tumeamua kuungana mapema

stock-vector-freedom-concept-vector-fist-icon-fist-silhouette-with-fire-wings-114439615.jpg

Ndugu mtanzania ni haki yako!
 
si mbaya sasa hivi itakuwa inaitwa kampuni kwa sababu wamiliki wameongezeka kuliko hapo awali ilikuwa SACCOS iliyosajiliwa kama taasisi ama kampuni
 
Unganeni mwenyekiti awe mbowe katibu maalim sef mwenezi zito fedha mipango mbatia Mwanasheria Tundu
Mausiano ya nje mzee hashim lengwe
 
Mnapoteza muda wenu bure tu. Bila Prof. Ibrahim Haruna Lipumba hamna kitu hapo.

Unaamanisha Lipumba wa Buguruni au Lipumba wa wapi. Kama ni huyu wa Buguruni sidhani kama yupo kwa ajili ya kuendeleza upinzani imara Tanzania. Kwa ujumla siaza za vyama vya upinzania Tanzania wanatakiwa kujitadhmini na waanza upya. Upinzani wa kina Prof Lipumba, Cheyo, Dovutwa etc hauna nafasi kwa sasa. Upinzani sindikizi haufai..natamani kuona upinzani ukileta hoja, na kusimamia hoja zenye mafunuaa kwa taifa hili..
 
Endelea kujidanganya.
 
Ndoto inatimia ndoto inatimia,sasa ni zamu ya membe kuweka wazi nia yake Bashe Nnape tunasubiri tamko lenu.
 
Unaamanisha Lipumba wa Buguruni au Lipumba wa wapi. Kama ni huyu wa Buguruni sidhani kama yupo kwa ajili ya kuendeleza upinzani imara Tanzania. Kwa ujumla siaza za vyama vya upinzania Tanzania wanatakiwa kujitadhmini na waanza upya. Upinzani wa kina Prof Lipumba, Cheyo, Dovutwa etc hauna nafasi kwa sasa. Upinzani sindikizi haufai..natamani kuona upinzani ukileta hoja, na kusimamia hoja zenye mafunuaa kwa taifa hili..
Nashangaa unamjibu mtu anayefikiri bado tuko 1990.
 
  • Thanks
Reactions: etb
Back
Top Bottom