Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
Mwenzako ananyea ndoo we unajifanya unamwombea!! Acha unafiq mkuu
 
Yote yanapita na yanamuda wake ulitarajia nape kutolewa bastola??Vuvuzela kama yule??Akili za UVCCM ni sawa na kichwa,cha kuku

Kama unaweza kuyaepuka haya ni bora zaidi. Zipo kazi nyingi jimboni kawe hazijafanyika, kwa mbuge ni bora kujikita huko zaidi.
 
Sasa mimi nawewe nani kilaza?
We ukiandika hapa jf kwa kutumia fake ID ndo unakua jasiri? Fala kweli wewe.
Kama huogopi anza kutumia majina yako halisi hapa, ingia mtaani anzisha kundi la wana harakati anza kutetea maslahi ya nchi usijaze server hapa kwa kujifanya una falsafa nyingi kwenye hakuna, sasa wewe unaweza kujilinganisha na Mandela?
Hivyo vyama vyenu njaa tu mnaichukia ccm lakini bado mnahongwa na kusaliti vyama vyenu, yaani hata mnachotaka hakijulikani bora hata ccm tunajua wanataka kuiba tu, sio nyinyi mnaojifanya wapinzani ilihali mnaendesha vikao usiku na kupewa pesa msaliti vyama vyenu, kutwa mnapiga domo kuhusu uanaharakati, mwanaharakati jf unatumia fake ID?
Kilaza wewe angalia wanaharakati kama akina Yeriko Nyerere sio wewe mpiga kelele

Sasa nimekupata, kwani at last your true ccolour has finally revealed....

Umeshindwa kujibu hoja na badala yake unaanza kurusha matusi....

Swali:

Nini kosa la Halima Mdee hata kustahili kuwa ndani ndugu ?
 
Kama unaweza kuyaepuka haya ni bora zaidi. Zipo kazi nyingi jimboni kawe hazijafanyika, kwa mbuge ni bora kujikita huko zaidi.
Kwa huku Kawe Halima ni reject, hakuna anayemhurumia jimboni kwake maana hana alichosaidia.

Aendelee kugombana na wakubwa huko huko na kama mada inavyosema CHADEMA waendelee kumuona huko selo Central.
Na ajabu wanaenda kumpa moyo kwa kumtukana Rais.
 
Kama unaweza kuyaepuka haya ni bora zaidi. Zipo kazi nyingi jimboni kawe hazijafanyika, kwa mbuge ni bora kujikita huko zaidi.
Endeleeni kuhalalisha ujinga kuwa ndiyo sheria siku yakirudi kwenu napo mje mseme
 
This is very true, Kawe tuna hasara kubwa, huyu mheshiiwa hata asipokuwa polisi, magereza na mahakamani, hana muda kabisa na jimbo. Kwa bahati mbaya hata chama chake na Mwenyekiti wao ni bogus, trash kabisa ya hali ya juu, hata wangekuwa na akili wange fanya innovation kwa kuomba apumzike walete acting mbunge. Ninajuta sana kumpatia kura yangu huyu mama na chama chake, vituo vye polisi vimefungwa, barabara hazipitiki, mafuriko yasiyo ya lazima kwa kushindwa kuwakabili wapigaji kama bwana Kusaga Mandege wa hapa Zoo, hana muda wa kazi huyo halima yuko busy na mambo yake tu. Pili tabia njema ni silaha, Dr Slaa alikua anasema ukweli sana hata kutaja ile list ya mwembechai lakini hana matusi, dharau na utoto wa namba hii. huyu bibie siku chache tu zilizopita aliomba msamaha mbele ya taifa zima, leo karudia yale yale hata mahakamani kesi yake itakua ngumu sana kumtetea
Wewe hujawahi kumpigia Halima kura ha hutakaa umpigie kura , umekaa ki Lumumba Lumumba. Eti vituo vya polisi vimefungwa kwani yeye ndiye kavifunga?, halima ndiye mtengeneza barababara? Acheni lawama za kipuuzi wakati dsm nzima baada ya mvua miundombinu zimeharibika sana
 
You are a slave disguised as a civilized person. How dare you call your own countrymen and women savages? You call your own parents and relatives saveges because your master told so. You dress like whitemen, speak their language, and learn to kiss their baty and now you consider yourself to be a whiteman! Shame on you! Wewe ni wa ajabu labda kama sio mtanzania au wazazi wako watanzania. Democracy has nothing to do with lack of manners and morals. You expect Magufuli to excersise fair politics while yourself can not excercise honourable politics?

Look who is talking!!

Ndiyo tatizo la kusoma maandishi ukiwa tayari umefikia hitimisho juu ya nini kimeandikwa. Savages nawaongelea hapa ni Magufuli na wanaCCM. Hawa ndiyo savages! Tena neno zuri la kuwafaa ni barbarians! Au unaweza kuwaita pia crooks! CCM and Magufuli are barbaric; they have been inflicting pains on Tanzania and Tanzanians, who continue to suffer under extreme poverty, while savages like Magufuli and his CCM live luxurious lives at the expense of tax payers' money!

Unasema "You dress like whitemen, speak their language, and learn to kiss their baty and now you consider yourself to be a whiteman! Shame on you", hii ni fantasy yako pengine ambayo unaitamani! Hivyo unafikiria kila mtu yuko kama your imaginary character!

What manners and morals are you talking about? Who defines the manners and morals? These are very relative; they aren't universal! What is moral for you, it may not be in my case! If you think Magufuli's handling of pregnant school-going girls is moral, then you will definitely understand that morals aren't universal!
 
Vuvuzela? Kama mwenye kinga ya kibunge alikaa miezi 3 sembuse wewe.
Mla ni mla leo mla Jana kala nini?
Tomorrow never comes. Yanayotakiwa leo yasingoje kesho.
Kwani jela kuna anayekufa ukiona mateso yamezidi jua ukombozi umewadia vilaza kama nyinyi hamuwez jua 7bu ya buku 7
 
Rais kapewa Power and Authority
Akili ikitulia jiulize kwanini haikuishia kupewa Authority peke yake badala yake ikasisitizwa na Power

Rais wa Nchi ingetosha kuitwa Mkuu wa Dola lakin kwa Msisitizo akapewa na Cheo na hadhi ya Uamiri Jeshi

Hata Vitabu vya dini vilisisitiza tutii Mamlaka sio Katiba na Sheria
..tena Amiri jeshi Mkuu,..
 
Na wewe ni miongoni mwao nini ? Ni mfuasi wa Magufuli ?

Anyway......

Mimi nadhani anayejidhania kuwa amesimama, basi na angalie asijeanguka !!

Na kwa huyu umsifiaye, na aangalie asijeumia yeye and his companions kwa sbb kamwe hawezi kuonea na kunyanyasa wana wa Mungu bila sbb na yeye akaachwa kuwa salama.... kama siyo leo ni hata kizazi chake cha tano mbele kitalipia uharamia huu !!!

Mimi uhuni huu na poli:tiks za kijinga kama hizi sizitofautishi na zile walizokuwa wanazicheza watawala wa enzi zile za akina Yesu Kristo, Mtume Paulo na Silas, enzi za akina Meshack na Abedinego ama enzi za kina Petro ambao kama ni cha moto walikionaga kwelikweli hadi kwa mfano wakamtundika Yesu Kristo msalabani kwa kupitia mateso makali saana incomparable na haya ya akina Halima Mdee ama Godbless Lema.....

Lakini unajua nini kilitokea ??

Watawala walivuna aibu isiyomithilika kwani ushindi ukawa kwa waliowadhania ni maharamia na wapingaji wa harakati za uchafu na ufisadi wa watawala wa enzi hizo....

Hakuna tofauti na hawa wa leo....

Hawa kina Magufuli na wenzake wanaojifanya kutenda kwa jina la wanyonge !!

Trust me, kuwa, watashindana weeeeee... lakini hawatashinda....

Watawaweka kizuizini weee lakini mwisho wa ubaya wao itakuwa ni aibu na fedheha kubwa....!!
..jifariji tu nyamafu,..
 
Mpaka Ngosha akimaliza awamu zake za utawala.
Nawasihi wananchi wenzangu mcheze ngoma mkiangalia jua vinginevyo mtaumia zaidi.

Sina chama wala sihitaji siasa, huu ni ushauri wa bure nawapa.
Hahahahahahahahahahaha...
Umenifulahisha hapo kwenye kucheza kuangalia juu.

Sio waangalie chini ili wasikanyagane.

Hahahahahahahaahaha.
Duh!
 
'Huyu Rais Mropokaji kuna Siku ataropoka tutembee Tumbo Wazi'
Haya Maneno hayawezi kutamkwa na Mwanasiasa hasa Mwanamke Tena Msomi wa Sheria!

Hata Huko Marekani wanaomtukana Rais sio Wanasiasa wa hadhi ya Mdee huwa ni Wahuni wahuni Kama kina Afande Sele au Man fongo
...man fongo a.k.a hainaga ushemeji,..
 
Ustahamilivu wa Jakaya ulipelekea Watu wakachukulia Poa hadhi, Mamlaka, nguvu na Uwezo wa Rais!

Akishatumikia Kifungo Miezi minne atakuwa na adabu Kama Godbless Lema ambae sasa amekuwa Mwanasiasa Mzuri.

Mola AMPE Ujasiri na Mnyika nae amtukane Magu Kama alivyokuwa anamtusi Muungwana Jakaya ili ajifunze kwa Vitendo Nidhamu

Unaonyesha bado upo utumwani kiakili.
 
Kuanzia leo anaanza kusali n.a. kumwombea anayetaka kuombea. Ninachokiomba ni asichokijua n.a. hatajua hadi kitimie!
 
This is very true, Kawe tuna hasara kubwa, huyu mheshiiwa hata asipokuwa polisi, magereza na mahakamani, hana muda kabisa na jimbo. Kwa bahati mbaya hata chama chake na Mwenyekiti wao ni bogus, trash kabisa ya hali ya juu, hata wangekuwa na akili wange fanya innovation kwa kuomba apumzike walete acting mbunge. Ninajuta sana kumpatia kura yangu huyu mama na chama chake, vituo vye polisi vimefungwa, barabara hazipitiki, mafuriko yasiyo ya lazima kwa kushindwa kuwakabili wapigaji kama bwana Kusaga Mandege wa hapa Zoo, hana muda wa kazi huyo halima yuko busy na mambo yake tu. Pili tabia njema ni silaha, Dr Slaa alikua anasema ukweli sana hata kutaja ile list ya mwembechai lakini hana matusi, dharau na utoto wa namba hii. huyu bibie siku chache tu zilizopita aliomba msamaha mbele ya taifa zima, leo karudia yale yale hata mahakamani kesi yake itakua ngumu sana kumtetea
Wewe ni wakili? Subiri zamu yako ikifika utetewe kirahisi.
 
Back
Top Bottom