Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Not every human being fit the real definition of human being; and the number of human beings today,if any,that number itself is not real-Binadamu leo hii ni wachache sana na huenda hakuna kabisa.

Mtu unaridhika kulala ndani na familia yako huku mwenzako umemuweka jela kwasababu zisizoeleweka na wala nafsi haikusuti alafu kila siku uko kanisani /msikitini eti unaomba Mungu/unaomba uombewe!

Soon tutaacha hata kuzikana kutokana na aina hii ya sisiasa!

Mwenyemuzi Mungu ingilia kati.
Mzitii mamlaka ndivyo Mungu alivyo amrisha. Ulipokubali kuwa raia wa Tanzania au kuja kuishi ktk ardhi ambayo ina mamlaka na kiongozi mkuu wa hiyo mamlaka ndio head of sovereign state ujue ulikubali kutawaliwa au mamlaka yako ulimkabidhi huyo mkuu wa hilo eneo na umekubali kumtii na kufuata matakwa yake kama mwakilishi wenu. Kimsingi hauko huru kwa kila kitu kama umekubali kuishi chini ya uongozi wa mamlaka fulani, kwa hivyo kuna mipaka ktk uhuru wetu.
 
Acha kudanganya wana JF hapa unless uwe huelewi maana ya "siasa !! "

Wasioshabia siasa na wanasiasa wako kwenye majukwaa tofauti na hili hasa huko Twitter, FB ama JF JOKES nk...

Sasa wewe unafanya nini kwenye jukwaa ambalo ni 100% mijadala yake ni pure poli:tiks and politicians !!??

Inaelekea hata hutambui kuwa uelekeo wa maisha yako ya kila siku huamuliwa na siasa na wanasiasa na kwa maana hiyo directly or indirectly hutakwepa kujadili ama kushiriki ktk siasa whether you like it or not !!

Kwa maelezo hayo, mimi nimepuuza ombi lako la "tuheshimiane" maana nadhani umelitema nje ya ufahamu wako wa kawaida !!!
Njaa zinakusumbua unahisi kila mtu yuko jf kutetea chama.
We fanya siasa mimi sifanyi siasa na sitetei mwanasiasa hata siku moja.
 
Not every human being fit the real definition of human being; and the number of human beings today,if any,that number itself is not real-Binadamu leo hii ni wachache sana na huenda hakuna kabisa.

Mtu unaridhika kulala ndani na familia yako huku mwenzako umemuweka jela kwasababu zisizoeleweka na wala nafsi haikusuti alafu kila siku uko kanisani /msikitini eti unaomba Mungu/unaomba uombewe!

Soon tutaacha hata kuzikana kutokana na aina hii ya sisiasa!

Mwenyemuzi Mungu ingilia kati.
Yaan ninapokuona kuwa we ni mnafiki ni pale unapoleta maneno yako yakutaka kutuaminisha kuwa serikali hii inafanya uonevu Kwa raia pale tu unapoona wapinzani wakishughulikiwa.

Lakini wanaposhughulikiwa wana ccm huwa unafurahi huku ukitoa maneno ya kejeli!!Tulia.
 
Mpaka Ngosha akimaliza awamu zake za utawala.
Nawasihi wananchi wenzangu mcheze ngoma mkiangalia jua vinginevyo mtaumia zaidi.

Sina chama wala sihitaji siasa, huu ni ushauri wa bure nawapa.
Dunia ingekau sehemu ya ajabu sana kama kila mtu angekua na mawazo kama yako au kufuata ushauri wako.
 
Dunia ingekau sehemu ya ajabu sana kama kila mtu angekua na mawazo kama yako au kufuata ushauri wako.
Nenda kapambane mkuu sikuzuii
Ushauri wangu ni bure.
Mdee ni Mbunge kazi yake ni siasa na analipwa kwa kazi hiyo,mimi silipwi wala sioni haja ya kutokwa mishipa ya shingo kumtetea Magufuli wala Mdee
 
Me huwa namkubali sana Zitto Kabwe na siasa zake zakistaarabu.

Hatukani wa kukejeli wakati huohuo ujumbe unawafikia walengwa
 
Saafi sana, mamlaka za nchi lazima ziheshimike. Akitoka huko akili itakuwa imemkaa sawa. Hii ndio laana ya kumtukana Spika Ndugai, kakutana na kisiki Mzirankende.
mamlaka zinazoongozwa na Hamnazo lazima zitegemee na zitumie hovyo vyombo vya dola
 
Njaa zinakusumbua unahisi kila mtu yuko jf kutetea chama.
We fanya siasa mimi sifanyi siasa na sitetei mwanasiasa hata siku moja.

Ndiyo maana nimekueleza toka mwanzo kuwa, wewe hujui hata usemalo !!

Kwa akili yako fupi unadhani ukishamtaja Magufuli ama Rais wa nchi utakuwa umetenganisha na CCM na Sera zinazoongoza taifa hili ambazo ni za Chama Cha Mapinduzi...!!

Na hata ukishajua kuwa labda mimi ni mpenzi ama mfuasi wa CCM ama CHADEMA ama CUF ama chama cha siasa chochote, ........ what's wrong with that ?

By the way, wewe huna chama, una chama ama mpagani.... kwangu mimi sijali hilo.....

What I care is,......ni hoja yako, baaasi.

Hiyo ndiyo ninayoweza kujadili ama kuipinga, unga mkono, kosoa ama kuirekebisha ama vyovyote vile.....

Sasa wewe, defence yako ya... "oooh, mimi sina chochote ", hata sina hakika inalenga nini maana hata hujaulizwa na yeyote useme wewe ni chama gani !!!

Achana na upuuzi huu, wewe tetea unachotetea ama pingana na unachopingana nacho lakini wakati huohuo uwe ready ku - face challenges za mjadala....!!
 
Ndiyo maana nimekueleza toka mwanzo kuwa, wewe hujui hata usemalo !!

Kwa akili yako fupi unadhani ukishamtaja Magufuli ama Rais wa nchi utakuwa umetenganisha na CCM na Sera zinazoongoza taifa hili hili ambazo ni za Chama Cha Mapinduzi...!!

Na hata ukishajua kuwa labda mimi ni mpenzi ama mfuasi wa CCM ama CHADEMA ama CUF ama chama cha siasa chochote, what's wrong with that ?

By the way, wewe huna chama, una chama ama mpagani.... kwangu mimi sijali hilo.....

What I care is, hoja yako. Hiyo ndiyo ninayoweza kujadili ama kuipinga, unga mkono, kosoa ama kuirekebisha ama vyovyote vile.....

Sasa wewe, defence yako ya... oooh, mimi sina chama hata sina hakika inalenga nini maana hata hujaulizwa na yeyote wewe ni chama gani !!!
Wewe unatetea nini au wewe hoja yako ni nini??
 
Huo ni ujinga mkubwa unajivesha. Mdee kahatarisha usalama gani na kwa kauli gani? Mnalishwa maneno nanyi mnakula tuu bila hata kuchambua.
Mara eti kamtukana Rais, wapi katukana? Wameona hoja yake kuhusu elimu ya watoto wa kike wanao pata mimba kwa ujinga wa watu wazima ina mmaliza kabisa Sizonje, basi hoja inahujumiwa kwa kusingizia uongo na kumtesa kiakili.
Yatakapo warudi haya mambo ndio mtabaki mnashangaa.
Akitoka humo atakuwa amenyooka kama Lema
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
..Wewe mtu ni Hopless kabsaaa...mdee anatetea ukweli kwa kumtukana rais ?
 
Back
Top Bottom