MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,598
- 30,138
Labda Uondoe Serikali ya Mjomba wakoNdugai keshspokea maelekezo toka kwa mhimili mkuu na tayari ameshawishi bunge na serikali kuwa majimbo ya upinzani yasipate pesa kwa sababu ya kupigia kura ya hapana bajeti ya 2017/18.
Dawa iliyobaki ni kuiondoa serikali hii madarakani vinginevyo watu wa kawe na kungineko kwenye majimbo yanayoongozwa na upinzani tutaendelea kuumia hata baada ya 2020.
Isitoshe, Halima Mdee na upinzani kwa ujumla si wakusanyaji wa kodi inayohitajika kuleta maendeleo.
Vumilia mdau! Udhalimu una mwisho!