Hali ya Mwakyembe, Mwandosya na Chami India

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,604
Jamani naombeni kujua anayejua hali za hawa wanasiasa walioko huko India ziko vipi, au kama walisharudi Bongo niambiwe. Kwa sababu kama Mwakyembe alivyoondoka tulikuwa tunapata updates kila wakati, hivi sasa naona kimyaaaa, Mwandosya vipi?

Kwa sasa naona ni Kamanda Zitto tu ndiye tunayepata nyuzi zake! Isije na yeye ikawa ni nguvu ya soda baadaye atakuwa kimya, India panaanza kunitisha hasa kwa hawa viongozi wa serikali ambao ni wanasiasa wakubwa.

Mwenye taarfa tafadhali.
 
Jamani mwenye updates za makamanda wetu atujuze, wiki illiyopitra kuna kiongozi mmoja wa serilkali alitamka kwamba jamaa wangeanza kuja mmoja mmoja wiki hii kwa sababu wana nafuu kwa sasa.

Mwenye taarifa tafadhali.
 
Wako safi mungu anawapigania hivi kalibuni wataludi ninapicha lakini siwezi jinsi ya kuweka
 
siku hizi imekua trend, nina picha lakini siwezi kuweka... cut the crap, if you cant post them basi kaa kimya

hakuna mileage katika jF
 
Mbaya zaidi huyu ni "JF Senior Expert Member". Invisible inabidi atazame upya vigezo vya kuwapandisha watu madalaja hapa JF.
 
leo saa tatu usiku angalia itv kipindi cha dakika 45 uweze kusikia taarifa ya serikali juu ya hao wagonjwa.mia
 
Kwa sasa ukijidai kimbelembele cha kujua sana wanakupumzisha india faster kweli utawala wa sheikh huyu alhaji asiyetaka kwenda hijja ni balaa anajua anachofanya ndio maana anaogopa kwenda hijja!!!!
 
anaweza akabaki huko nini??
Kwa sasa ukijidai kimbelembele cha kujua sana wanakupumzisha india faster kweli utawala wa sheikh huyu alhaji asiyetaka kwenda hijja ni balaa anajua anachofanya ndio maana anaogopa kwenda hijja!!!!
 
Jamani naombeni kujua anayejua hali za hawa wanasiasa walioko huko India ziko vipi, au kama walisharudi Bongo niambiwe. Kwa sababu kama Mwakyembe alivyoondoka tulikuwa tunapata updates kila wakati, hivi sasa naona kimyaaaa, Mwandosya vipi?

Kwa sasa naona ni Kamanda Zitto tu ndiye tunayepata nyuzi zake! Isije na yeye ikawa ni nguvu ya soda baadaye atakuwa kimya, India panaanza kunitisha hasa kwa hawa viongozi wa serikali ambao ni wanasiasa wakubwa.

Mwenye taarfa tafadhali.

Jamani mm naomba ile ripoti ya ki interijensia ya magonjwa ya mwakyembe na mwandosya ambayo iliwahi kuwekwa humu jf iko wapi,nimeitafuta sijaiona,mwenye nayo aniPm
 
Back
Top Bottom