ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
Nipo safarini kuelekea Samunge kwa Babu, napitia hapa (KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT (KIA), najikia kwenda maliwatoni. Naingia hapa maliwatoni (GENTS), napokelewa na harufu kali sana ya kutisha, navumilia tu kwa kuwa sin jinsi..napojisogeza nakutana na hali mbaya zaidi. Vyoo vimefulika kuanzia kwenye sehemu ya haja ndogo na ile ya haja kubwa ..hali ndio hivi.
Hiki ni kiwanja cha Kimataifa na kina pokea zaidi ya watalii 100 kila siku.