Hali ya Hewa Dar yabadirika ghafla,wapi TMA?

Inaitwa TMA Marytina...
Kweli walikosea..na mimi niliamua nisitoke kwenda popote,tena walisema ingekuwa mbaya zaidi,sasa sijui lengo lilikuwa nini kutudanganya vile..

Au nami nisiwaamini!

Utabiri wao inawezekana ulionyesha hivyo ... Ukimbukwe pia Mzee wa Upako alisema mvua ikinyesha tena kubwa kama ... basi atakuwa si yeye ... Labda Mungu alisikia kilio cha watu wake!!!
 
Ndugu yangu, hata hao TMA wakitoa utabiri mzuri au mbaya watanzania huwa tunausikiliza? Utakuta mmekaa mahali mnaangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku, mara mtangaji anaanza "ufuatao ni utabiri ..., " ... Utasikia wengine wanasema toa hapo, weka "mziki" hayo ndiyo mazoea ya tuliyowengi mitaani. Labda kama tutabadilika basi huo utabili wa TMA unaweza kuheshimika na kuzingatiwa!!!

fot whatever the reason, wanapaswa kutoa taarifa sahihu tu.....haijakish kama tunaangalia au la
 
Mzee wa Upako alisema atajiuzuru kama mvua ya mafuriko ingenyesha tena (kama TMA walivyotabiri) !! Ngoja Mzee wa Upako aje kutuambia hili wingu ni nini!
 
Kwa taarifa nilizo nazo kupitia aljazeera, kuna kimbunga kinaikaribia madagascar, na inategemea kuleta mvua nyingi nchi ya Msumbiji na ukanda wake, hivyo Tanzania inaweza kupata mvua zaidi zaidi ya kawaida
.
 
Back
Top Bottom