Hali tete.

Bellino

Member
Jan 29, 2012
65
10
Mtoto azaliwa akiwa haongei..akibahatika kuongea basì hutokea kitu cha ajabu..
TUKIO LA.1
alianza kutaja jina la bibi.. siku iliyofuata bibi yake akapoteza maisha.
TUKIO LA.2
alilia na kutaja jina la babu hivyohivyo akafariki babu siku ilifuata.
TUKIO LA.3
mtoto alilala alipoamka akataja jina la baba siku iliyofuata akafariki houseboy wa nyumba...
 
we kumbe hujaimalizia alivyoamka siku ya nne alisema mama basi maza ake akafa.. na yule dingi akaoa mke mwingine na they lived happily there after..!
 
Back
Top Bottom