Hali si njema kwenye Makampuni ya Mawasiliano, Serikali iamke kutoka kwenye Usingizi wa Pono

Na haya yote yamesababishwa na Ndugai, Juma, Magufuli
Hii mihimili 3 ndo chanzo cha matatizo
Tatizo ni nini? Tanzania hadi hivi sasa inatoza gharama kubwa sana za simu , Je, ni kwa sababu haya makampuni yanachukua/wana charge kiwango kikubwa? Kodi ambayo inatozwa na Serikali ni standard shida ni nini hasa? Au kuna wale wanaopenda kuishi kama malaika kwa kutumia haya makampuni?
 
Na haya yote yamesababishwa na Ndugai, Juma, Magufuli
Hii mihimili 3 ndo chanzo cha matatizo
Airtel inayumba sehemu zote iliyopo Afrika na wameshatangulia kuuza minara kwenye nchi nyinginezo, Tigo wameamua kuondoka Afrika nzima na wameshauza hisa zake nchini Ghana. Kampuni za simu zilimeenjoy high time kwa muda mrefu, ni muda kujiadjust kuendana na hali. Kama serikali ikifikiria wa kuwanasua nadhani waanze na wadau walio kwenye sekta ya Utalii ambao tangu covid ishamiri wako juu ya mawe.

Wakijaribu tena kuja na vifurushi vipya yatawakuta ya last time na mama hana msuli wa kuwakazia wananchi kama mtangulizi wake.
Jibu ni jepesi tu pesa mtaani hakuna watu tunaweza vocha ya 500 kwa wiki
 
Back
Top Bottom