Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Mbona hawaeleweki?.....upungufu ni 200MW au 350MW?.........Halafu kati ya 23 Mei na 26 Mei umeme utakatwa mchana au asubuhi?.....nchi hii vije jamani?....tuko palepale na dharura toka 1992?
Leo ni tarehe 10/5/2011 tayari kata kata imeanza au hii haina husiano na tangazo hili?
Mh! unakwenda mbali sana mkuu, lolI wish i was a sniper
Leo ni tarehe 10/5/2011 tayari kata kata imeanza au hii haina husiano na tangazo hili?
punk..I wish i was a sniper
Viongozi wa ccm na serikali yao mafisadi wakubwa yaani mvua zote eti mtera imejaa 30 cm,nawaomba wananchi wenzangu kuanzisha maandamano barabarani nchi nzima ya amani kupinga uonevu huu ndani ya nchi yetu.Yaani pasipo aibu wanajiandaa kukodi mitambo kupunguza makali ya umeme wakati wa kiangazi hii inatia hasira kuona wameshindwa kupata suluhu ya kudumu hakika ccm wameinajisi nchi yetu vya kutosha tuwaondoeni sasa.