Hali mbaya ya hewa Zanzibar

Kaka hawa ni ndugu zetu wa damu hata kama wanatubagua nawaombea heri na Mungu aepushe balaa la tornado
 
Me napenda waendelee kuwepo,NAPENDA SANA KUSIKIA KELDLE ZA MUUNGANO NA WAO NDO WAPGAJ HZO KELELE
 
mkuu usiwe na chuki kiasi hiko wazanzibari ni watu hivyo kama watu hawapaswi kufa bila sababu kwani si wote wenye hatia ikutiayo chuki.
universal mtu yoyote popote kufa si kuzuri.
tuwaombee heri wasipate maafa wao na mali zao
I hate them forever. They are supposed to die and distinct.
 
Kumbe matusi r now allowed,SHAME ON U MODS WAKURUPUKAJ,HAMNA LOLOTE ZAID YA UNAFKI,WATU WANATUKANA NA WANAKASHFU DINI ZA WATU HATA **HAMUWEKI
KWENDENI ZENU HUKO,
 
Kumbe matusi r now allowed,SHAME ON U MODS WAKURUPUKAJ,HAMNA LOLOTE ZAID YA UNAFKI,WATU WANATUKANA NA WANAKASHFU DINI ZA WATU HATA **HAMUWEKI
KWENDENI ZENU HUKO,
Hapa hakuna matusi wala kejeli za kidini.
 
Back
Top Bottom