Hali Mbaya CCM, Umemsikia Pinda? CCM wafundwa jinsi ya Kuongea Bungeni. Ukweli....

Ndugu, uamuzi au matokeo yoyote ya kijinga (kama ambavyo tayari taarifa zinaonesha - eti kutetea maslahi ya chama badala ya taifa) ya kusanyiko hili la "aibu" la hawa jamaa yana athari za moja kwa moja na maisha yako na sio suala la "Pilipili msioila inawawashia nini?".

Tatizo hamjui hata kusoma... Kasome tena bandiko mama linasema nini!
 
Tuisheni ya wabunge wa CCM wanafundwa jinsi ya kuongea Bungeni hii inaonyesha jinsi walivyo CRAP

Acha ulofa wewe... kila chama kitakuwa na semina kama hiyo. Lengo ni kujua taratibu mpya za Bunge..

The three-day seminar was organized by the national assembly to familiarize new legislatures on party policies. Other political parties, according to the prime minister, will also hold similar seminars.[
 
iwekene kwa kiswahili watanzania tulio wengi tuweze kusoma ishu hiyo ya pinda
 
Kwa nini uwashangae? Mimi nawatarajia wafanye kama walivyoagizwa. Mimi ningeliwashangaa kama wangefanya vinginevyo! COLLECTIVE RESPONSOBILITIES. Hii ndo kusema, kama ni sifa wapate wote na kama ni bomu linawalipukia wote. Afterall, kifo cha wengi ni arusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom