Hali kama hii unaweza kumkubalia mkeo awe muigizaji?

vipato vingine ni vya laana wandugu. hapa kiukweli hakuna kuaminiana kama mnavyotaka tuamini. ndoa ya tyson na monalisa iko wapi? ndoa ya hale beri iko wapi? mahusiano ya mastaa wengi kila siku tunasikia yako kikaangoni. ukweli wa nafsi wanawake wengi waigizaji huangukia mapenzini na wale wanaoigiza nao. kama utavumilia hilo hapo sawa, ila si kuamini kuwa mkeo hafanyi kufuru nje ya mahusiano yenu. asilimia 90 ya mabinti wenye majina bongo wana kashfa nyingi za ngono. ukimruhusu mke/mume kufanya scene kama hizo is at your own risk!
Kwa watu waliosomea kazi zao (taaluma ya uigizaji) waweza kufumba macho lakini bahati mbaya ma supastaa wengi wa bongo hasa wanawake ambao wengi huibukia kutoka kwenye fani ya urembo kujiita una mke hapo ni sawa na kuamua kuishi na jolystic yeyote na hii ni kwa risk yako mwenyewe, hakuna mke hapo. Utasaidiwa tu utake usitake kisingizio "tunaigiza naye" kumbe.......!! Akili kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom