Kwani kuna tatizo inabidi mjenge mazingira ya kuamiana ....hehehe inaonekana mwenzetu unaweza kupasua TV
Ray aliigiza na binti mmoja nimemsahau, mwishowe alimgeuza hawala, Kanumba aliigiza na miss TZ pia yakawa yale yale nk, hii inaonesha kama hatomuoa kwa vile ni mke wa mtu, ni lazima atamlamba tu, na utegemee kulea watoto wasio wako.vipato vingine ni vya laana wandugu. hapa kiukweli hakuna kuaminiana kama mnavyotaka tuamini. ndoa ya tyson na monalisa iko wapi? ndoa ya hale beri iko wapi? mahusiano ya mastaa wengi kila siku tunasikia yako kikaangoni. ukweli wa nafsi wanawake wengi waigizaji huangukia mapenzini na wale wanaoigiza nao. kama utavumilia hilo hapo sawa, ila si kuamini kuwa mkeo hafanyi kufuru nje ya mahusiano yenu. asilimia 90 ya mabinti wenye majina bongo wana kashfa nyingi za ngono. ukimruhusu mke/mume kufanya scene kama hizo is at your own risk!
Ni vyema tuwe wakweli, we dada chukulia kuwa aliyelaliwa (kwenye picha hii) ni mmeo, utaridhika tu???? Si utasema ``kama mambo yenyewe ni haya acha tu tufe masikini!!!``Kwani kuna tatizo inabidi mjenge mazingira ya kuamiana ....hehehe inaonekana mwenzetu unaweza kupasua TV
Kwani kuna tatizo inabidi mjenge mazingira ya kuamiana ....hehehe inaonekana mwenzetu unaweza kupasua TV
Kwani kuna tatizo inabidi mjenge mazingira ya kuamiana ....hehehe inaonekana mwenzetu unaweza kupasua TV
arghhhhh..kwani nini cha ajabu hapo??....acha wivu kwa mkeo kaka...kazi hiyo inaleta kipato cha familia....
NI MAONI TU WADAU ILA YAMEJAA MTAZAMO WA KUWAWEZESHA WANAWAKE WASIENDELEE KUWA JINSIA TEGEMEZI
Pape naamini amejibu yote, First Lady na wenzako mnaweza kubadili mtazamo wenu. au ni ngangali.hapo mamsapu atanisamehe! Uigizaji gani kama huo? Thubutu!