Hali Kama hii Imekaa Vibaya Jamani, Fikiria Ungekuwa Wewe...!

KILITIME

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
265
18
WanaJF, mara kwa mara tumesikia kuhusu utekaji wa mabasi ya abiria na bahati mbaya sana watekaji huwa wanawavua nguo zote abiria na wanabaki uchi wa nyama. Mimi haijawahi kunitokea! Sijajua wanaovuliwa nguo huwa wanafanyaje baada ya hapo, kwamba huwa wanaomba msaada kwa wapita njia au vipi?
1. Ukizingatia wako jinsia tofauti tena uchi, je, nani anakuwa kiongozi wao?
2. Kila mtu atakuwa amekaa chini kujisitiri, nani ataanza kunyanyuka kwa ajili ya kuchukua hatua zinazofuata? Just thinking loudly!
3. Jifikirie ulivyo ukiwa peke yako tena uchi, kisha jifikirie mkiwa kundi, pia mko uchi: Jinsia tofauti, maumbo tofauti, rangi tofauti, hapo inakuwaje? A further loud thinking!
Kama wewe ungekuwa kwenye hali kama hiyo ungefanyaje?
 
Tujadili tiba ya swala hili kuliko kufikiria itakuwaje hiyo ni ajali kama zilivyo ajali zingine na palipo na wengi pana mengi achilia mbali kuwa uchi tu fikiria mali zinazopotea,uhai,kuchelesha maswala ya maendeleo,n.k Watanzania tuamke wakati huu ni mbaya kuliko tuliowahi kushuhudia huko nyuma wezi tunakaa nao tunawafahamu naomba tushikiane na watu wa usalama wakati wote kabla haya hayajatokea.Utakuta mtu hana kazi maalum lakini mambo anayofanya hayafanani naye lakini bado tunamtazama tu na matokeo yake ndo haya.
 
tiba zaidi ni kila mmoja kutembea na CONDOM uwezi jua mtu akavua akakutamani gafla na huna means anakungangania....utafanyaje...hakika tutaisha...hili ni wazo tu haliusiani na jf..ni la mtu binafsi
 
Kuna mtu aliwahi nisimulia hii ishu na ilimkuta jamni acheni tuu inatia hasira, ila aliniambia jinsi ilivyowatokea wao ni kuwa walivuliwa nguo na zikarundikwa sehemu moja, na wezi walimpiga risasi dereva wa bas RIP. Bas wezi walivyo maliza kuwasachi wakatokomea zao ila wotee waliambiwa walale kifudi fudi mhh acheni tu! ila tuu baada ya wezi kuondoka wote walikimbilia nguo nadhani muda huo kila mtu anakuwa na hofu na maisha yake, ila inasikitisha sna jamni naomba Mungu isinitokee!!
 
ilitokea ngara, jamaa wakavuliwa nguo then wakalala chini, kwa jinsi walivyotishwa majambazi walipoondoka walibaki wamelala kwa nusu saa zaidi hamna anaedhubutu kuamka, ila kwangu ikitokea hali kama hiyo sitajali nikiwa uchi , bora maisha maana ukikataa kuvua likely hey will kill you
 
chini???
sisimizi na michanga...ikikuingia je???
mhhh....sipati picha....

Hahaaaa,

Mimi ningeamka, yaishe, hakuna shepu mbaya ya binadamu akiwa uchi kama aliyechuchumaa au kukaa maana anajikunja kama mdudu wa kiwi!!!:D

Kibaya zaidi ni pale unapoamka halafu una michanga huko nyuma na kama ni mwanaume hadi kengele zinakuwa na hali mbaya na kama ni mwanamke ndio unakuta mlango wa pilato una mchanga... Kha!!!:(
 
hahaaaa,

mimi ningeamka, yaishe, hakuna shepu mbaya ya binadamu akiwa uchi kama aliyechuchumaa au kukaa maana anajikunja kama mdudu wa kiwi!!!:d

kibaya zaidi ni pale unapoamka halafu una michanga huko nyuma na kama ni mwanaume hadi kengele zinakuwa na hali mbaya na kama ni mwanamke ndio unakuta mlango wa pilato una mchanga... Kha!!!:(

afadhali ya mchanga...
Sisimizi wakikuingia je??
Patakalika??????
 
Uchi ni uchi tuu, hakuna big deal , kwani mara ngapi tunaonana uchi, tena mkiwa wote uchi noma inakua hakuna kwani wote Binadamu na hakuna kipya tunacho kiona na pia tunaikubali hali inakua hakuna aibu!
 
Hahaaaa,

Mimi ningeamka, yaishe, hakuna shepu mbaya ya binadamu akiwa uchi kama aliyechuchumaa au kukaa maana anajikunja kama mdudu wa kiwi!!!:D

Kibaya zaidi ni pale unapoamka halafu una michanga huko nyuma na kama ni mwanaume hadi kengele zinakuwa na hali mbaya na kama ni mwanamke ndio unakuta mlango wa pilato una mchanga... Kha!!!:(

Kwa mwanaume sio ishu, unajiachia tu
 
Mbaya zaidi ukiwa safarini na familia, baba, mama, watoto etc!!!
 
Weee George_Porjie usinichekeshee
teeh teeeh ahaaaa ahaaaa khaaa! hebu jaribu kufikiri mmetoka msibani tena kwa wakwe si itakua baraaaaaaaaa?????
Duh sipati picha!!!!!
 
Kuna mtu aliwahi nisimulia hii ishu na ilimkuta jamni acheni tuu inatia hasira, ila aliniambia jinsi ilivyowatokea wao ni kuwa walivuliwa nguo na zikarundikwa sehemu moja, na wezi walimpiga risasi dereva wa bas RIP. Bas wezi walivyo maliza kuwasachi wakatokomea zao ila wotee waliambiwa walale kifudi fudi mhh acheni tu! ila tuu baada ya wezi kuondoka wote walikimbilia nguo nadhani muda huo kila mtu anakuwa na hofu na maisha yake, ila inasikitisha sna jamni naomba Mungu isinitokee!!

Walipo kimbilia nguo sasa kuchagua mpaka uipate ya kwako ipo kazi unaweza jikuta mwanaume umevaa gauni bila kujijua kwa sababu ya hofu na kuficha uchi! Sasa kama una chupi iliyochanika hapo sijui
 
Weee George_Porjie usinichekeshee
teeh teeeh ahaaaa ahaaaa khaaa! hebu jaribu kufikiri mmetoka msibani tena kwa wakwe si itakua baraaaaaaaaa?????
Duh sipati picha!!!!!

Kaka omba yasikupate ila kama ulikuwa umekaa pembeni na kidemu kizuri halafu domo zege jamaaa watakuwa wamekurahisishia shughuli
 
Hahaaaa,

Mimi ningeamka, yaishe, hakuna shepu mbaya ya binadamu akiwa uchi kama aliyechuchumaa au kukaa maana anajikunja kama mdudu wa kiwi!!!:D

Kibaya zaidi ni pale unapoamka halafu una michanga huko nyuma na kama ni mwanaume hadi kengele zinakuwa na hali mbaya na kama ni mwanamke ndio unakuta mlango wa pilato una mchanga... Kha!!!:(

wewe nawe umeenda mbali...ah! inasikitisha na kuchekesha pia...tuombe tu yasitukute.
 
Kaka omba yasikupate ila kama ulikuwa umekaa pembeni na kidemu kizuri halafu domo zege jamaaa watakuwa wamekurahisishia shughuli

wewe watu wana haijakiwa na unafikiria mambo ya shughuli???? ndio maana status yako imekaa hivyo....womanizer! nakwambia hiyo hofu ya kufyatuliwa marisasi hata kutafreeze kabisaaaaaaaa LOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom