Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.

Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.

Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.

View attachment 2594741
Shida ilikuwa nini hapo?
 
Mtu anachukia ushoga alaf anaua , anaroga, huyo huyo ni mzinzi , ni kichekesho cha karne
 
Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.

Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.

Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.
View attachment 2594741
Warusi na wamarekani ndio wanao piganisha hiyo vita kill mmoja na upande wake...
 
Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.

Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.

Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.
View attachment 2594741
Yaache yauane,yatupunguzie na matumizi ya oksijeni
 
Ukisikia mis information ndio hii sasa, Mtu unaleta video bila maelezo ya kueleweka mwishowe kila mtu anaondoka na lake. Na watu walivyo wapumbavu. Mwengine atasema ni Wezi, Mwengine atasema ni Mashoga, Mwengine atasema ni Sunni na Mujahideen yani kila mtu atakua na lake ilimradi akatengeneze sifa huko ankoipeleka video
 
Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.

Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.

Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.
View attachment 2594741
Jitahidi kuutumia vzr ubongo wako ili ukusaidie kuwaza kwa kina.

Naona umewaza juu juu sana kwa kiwango ambacho hata kutatua changamoto za familia yako sidhani kama unamudu (Kama ni mtu mzima lkn).

Sorry naomba kujua jinsia yako kabla sjaendelea kutoa mawazo yangu juu ya hii mada.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ni nchi ya amani tuitunze amani yetu ni tunu kwa taifa.Kataa mashoga kwa nguvu zako zote
FB_IMG_16718822247392707.jpg
 
Back
Top Bottom