Hali hii inatisha kwa tv zetu

wizaga

Member
Nov 27, 2011
70
8
Sijaona kama jambo la kawida chombo au vyombo vya humu nchini kutoripoti kikamilifu habari ya mgomo wa madactor,ninavyoelewa chombo cha habari kinampa taarifa mwananchi hali halisi ya siku haitofautiani na kutoa hali ya hewa.madr mabingwa wamegoma na hali mbaya kwenye utoaji huduma vyombo vya habari vinawajibu kila wakati kuwajuza watu ili watafute mbadala mfano TBC jana jioni haikugusa na kuliona ni jambo la kawaida na bado ni chombo cha serikali.badilikeni acheni siasa kwenye mambo yasiyo na mzaha
 
tanzania huu mtindo wa kuchukua waliofeli na kuwapeleka uandishi wa habari na ualimu umeligarimu taifa sana.
 
Back
Top Bottom