Vigezo ni vingi sawa. Just support kuwa unakuwa Kwa kuleta vigezo vyako ambavyo havijafutwa tujifunze.Hata wanapopima mfumuko wa bei kwa kigezo cha kuchukua Sample za vyakula wengi huwa tunapingana na hizi theory zao ni za zamani sana
Uchumi wa Kikwete ulipimwa kwa ujenzi wa barabara yaani heavily government spending on Infrastructure, Leo Uchumi wa magufuli unapimwa kwa less spending sio kweli
Elimu elimu elimu ya Tanzania ni mbovu sana
Zito amesoma theory tu darasani, Hupimi uchumi kwa kigezo cha loans au credit kupungua tu