Hali halisi ya uchumi wetu kwa sasa, mikopo kwa sekta binafsi yapungua

Hata wanapopima mfumuko wa bei kwa kigezo cha kuchukua Sample za vyakula wengi huwa tunapingana na hizi theory zao ni za zamani sana

Uchumi wa Kikwete ulipimwa kwa ujenzi wa barabara yaani heavily government spending on Infrastructure, Leo Uchumi wa magufuli unapimwa kwa less spending sio kweli

Elimu elimu elimu ya Tanzania ni mbovu sana

Zito amesoma theory tu darasani, Hupimi uchumi kwa kigezo cha loans au credit kupungua tu
Vigezo ni vingi sawa. Just support kuwa unakuwa Kwa kuleta vigezo vyako ambavyo havijafutwa tujifunze.
 
Huu uchumi unapimwa ni vigezo vingi sana sana hapa naona anaoengelea mambo ya mikopo tu yaani Contractionary in credit, Mbona hawaangalii mambo mengine

Nampongeza zito lakini zito hajawahi fanya kazi kama sisi wengine yeye kasoma darasani tu, Hii vyuo vya bongo inabidi walimu wawe kama South korea masomo yanafundishwa na wataalamu ambao wana ujuzi kuna walimu wanafundisha Marketing huko South korea wamefanya kazi Google huko mpaka wengine makampuni makubwa yaliwafia mkononi

Hii elimu ya Zito aliyofundishwa na Prof usoro au karamagi siikubali kabisa

Nimewahi soma muda fulani Tanzania hasa Masters walimu walidanganya sana Mimi nilisimama na kuwaambia mnafundisha mambo ambayo yamefutwa

Huwezi pima uchumi kwa kipimo kimoja cha Credit never ever
Badala ya kujibu hoja na kuweka data ili kumpinga zitto umeishia kufanya personal attack kwa zitto!!

Hii ni ya kwamba umeishiwa hoja, na kama ingekua ulingoni basi ungekua umetolewa knockout tena raundi kwanza...
 
Vigezo ni vingi sawa. Just support kwa kuleta vigezo vyako ambavyo havijafutwa tujifunze.
 
Hadithi

Unasimulia hadithi,crdb amepata non performing loans ni kwa vile uchumi umeporomoka sababu ya Sera uchwara
Unataka utuambie miradi isiyo ya maana kama reli,viwanja chato ndo real economy au? Hakuna logic hapo ukweli ni kwamba uchumi una hali mbaya kwa viashiria karibu vyote
Ulitaka kiwanja Arusha au Moshi sawa au?
 
Mkuu na mimi hii ndo hoja yangu. jamaa anamshambulia Zitto (by the way Zitto PhD yake-not sure kama amemaliza-anaisomea Germany). The point is kama yeye ni msomi na ana experience, basi atwambie ni kwa nini hizi data za BOT hazistahili kuaminiwa!
Lazima tujue kuwa siku zote watu wa namna wapo. Watu wanaoamini kuwa wanajua sana lakini kiuhalisia ni watupu kabisa. Kama huyu anayemshambulia Zito wakati katika michango yake yote hakuna alipoonesha usahihi ni upi. Watu kama hao ni wa kuwapuuza maana wanachojua ni kubisha tu, hakuna cha zaidi.
 
Huu uchumi unapimwa ni vigezo vingi sana sana hapa naona anaoengelea mambo ya mikopo tu yaani Contractionary in credit, Mbona hawaangalii mambo mengine

Nampongeza zito lakini zito hajawahi fanya kazi kama sisi wengine yeye kasoma darasani tu, Hii vyuo vya bongo inabidi walimu wawe kama South korea masomo yanafundishwa na wataalamu ambao wana ujuzi kuna walimu wanafundisha Marketing huko South korea wamefanya kazi Google huko mpaka wengine makampuni makubwa yaliwafia mkononi

Hii elimu ya Zito aliyofundishwa na Prof usoro au karamagi siikubali kabisa

Nimewahi soma muda fulani Tanzania hasa Masters walimu walidanganya sana Mimi nilisimama na kuwaambia mnafundisha mambo ambayo yamefutwa

Huwezi pima uchumi kwa kipimo kimoja cha Credit never ever
Ni kweli kabisa walimu wa vyuo vikuu baadhi ni shida sana kama wale wa makinikia walitupa matumaini ya kila mtanzania atapata Noah baadae ikawa bilioni mia 7 mpaka sasa hazijulikani zitalipwa lini yaani wamesababisha raisi wetu kawaongopea wananchi ni hatari sana
 
Humu Jf kuna watoto wengi sana
Ukichukulia na wanafunzi wapo midterm ya easter
Zito aliwahi kuja na vipimo vyake vya njaa kisa Shinyanga wakati mikoa mingine walioverproduce, mwisho wa siku njaa amekaa nayo mfukoni

Nakujibu kwa ufupi kama ulidanganywa na vyuo vya Tanzania ni hivi :

Moja kipindi cha Magufuli serikali haipo interested na kukopa toka kwenye mabenki ya ndani hivyo mabenki yamebaki hayawezi mkopesha serikali

Serikali sasa ikitaka kukopa ina taka long term Treasury bond ya zaidi ya mwaka, na wakitaka kukopa ndani wapo radhi kuzilipa mabenki 7percent toka 16 percent ya kikwete

Mbili, Serikalini imeshaondokana na dhana ya taasisi zake kujaza pesa kwenye Bank mfano Bank M walitegemea sana serikali leo wanayumba poor liquidity

Kuna mambo mengi huwezi elewa kama haupo kwenye system au ulisoma theory darasani
 
Back
Top Bottom