Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

Huyo sio bob πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimegundua watu ni psychopaths kweli kweli!!! Sasa hapo kinachokufurahisha ni nini kuona mtu anapoteseka? Hata kama sio bob, kinachokufurahisha ni nini?

Hii nchi kianzishwe kitengo cha ugonjwa wa akili, vijana wana hasira balaa.
Kama wewe ulivyo na hasira, wivu na husda na Madaktari wa nchi hii. Inatakiwa ujue mashoger ni watu wasiovumilika wala kutakiwa na jamii ya nchi hii
 
Wewe mbona wifi analala na mirasta bila kuvaa kofia ya kulalia?? Halafu mpe pesa ya saloon mirasta imechakaa hiyo 🀣🀣🀣
Hapo mba km zote!! Nahisi akiingiza kidole kujikuna anatoka na unga 😝

Haya weka picha yako sasa tuone
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Huyu kitunguu maji ataweza wapi kuhudumia mwanamke na ufupi wake huo ndio mana mkewe ana chawa kisogoni 😱😱😱😱 ndoa ni za watu warefu jamaniii nimechekaaaa alafu kafuta fastaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ™ŒπŸ˜‚
 
Leo ni siku mpya. Bifu liliisha jana, tufurahie Jumamosi ambayo Mungu ametupa mkuu. Ya jana ni ya jana, leo ni siku mpya.
 
Back
Top Bottom