Shida ya watanzania tunapenda sana kulinganisha, badala ya kufikiria suluhisho, wakishalinganisha ndo ufumbuzi unakuwa umepatikana, mfano hai bungeni eti hata marekani inakopa, basi na tanzania nayo ikope huu ni udhaifu mbaya
Hata rahisi kikwete amewahi kutamba hivyo.Shida ya watanzania tunapenda sana kulinganisha, badala ya kufikiria suluhisho, wakishalinganisha ndo ufumbuzi unakuwa umepatikana, mfano hai bungeni eti hata marekani inakopa, basi na tanzania nayo ikope huu ni udhaifu mbaya
Shida ya watanzania tunapenda sana kulinganisha, badala ya kufikiria suluhongisho, wakishalinganisha ndo ufumbuzi unakuwa umepatikana, mfano hai bungeni eti hata marekani inakopa, basi na tanzania nayo ikope huu ni udhaifu mbaya
natamani za kwetu ziwe hivi