Halafu mnalalamika "Dar foleni"?

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
The longest traffic jam in the world recorded in China. Its length is 260 kilometers.
 
The longest traffic jam in the world recorded in China. Its length is 260 kilometers.

Shida ya watanzania tunapenda sana kulinganisha, badala ya kufikiria suluhisho, wakishalinganisha ndo ufumbuzi unakuwa umepatikana, mfano hai bungeni eti hata marekani inakopa, basi na tanzania nayo ikope huu ni udhaifu mbaya
 
260km duuh, hata hiyo safari ntaisamehe ikiwezekana. I won't surprise china to have such a long traffic it reflects its population of 1.3bn and I believe majority have their own mode of commuting.
 
Shida ya watanzania tunapenda sana kulinganisha, badala ya kufikiria suluhisho, wakishalinganisha ndo ufumbuzi unakuwa umepatikana, mfano hai bungeni eti hata marekani inakopa, basi na tanzania nayo ikope huu ni udhaifu mbaya

Heko Mkuu!!
 
kibaraka..... the time is now, you can run, but cant hide

jilingnishe kwa vyote basi na sio foleni pekee, mambaff

mfa maji haishi kutapatapa
 
Okay....kumbe sisi tuna nafuu...vuta blanketi tulale kuna baridi aisee...
 
Shida ya watanzania tunapenda sana kulinganisha, badala ya kufikiria suluhisho, wakishalinganisha ndo ufumbuzi unakuwa umepatikana, mfano hai bungeni eti hata marekani inakopa, basi na tanzania nayo ikope huu ni udhaifu mbaya
Hata rahisi kikwete amewahi kutamba hivyo.
 
Foleni ambayo iko "organized".. ok, hata ikiwa maili 1000.

Dar hakuna magari ya kuweka foleni. Ni ushamba na utovu wa nidhamu wa madereva. Utakuta huyu amechomeka huku, mwengine anajaribu kuvuka foleni , anaishia ku-block watu wote... Askari wa barabarani yupo pembeni na usongo wa mawazo..hajaacha kitu juu ya meza nyumbani kwake.
 
"we dont develop bcoz we are thinking and concetrating too much about what we dont want, than what we want." (wiseboy).
 
Shida ya watanzania tunapenda sana kulinganisha, badala ya kufikiria suluhongisho, wakishalinganisha ndo ufumbuzi unakuwa umepatikana, mfano hai bungeni eti hata marekani inakopa, basi na tanzania nayo ikope huu ni udhaifu mbaya

Hayo magari ya Bongo ya kusababisha foleni kwa barabara kama hizo yako wapi. Bongo issue ni miundombinu!
 
Tujifananishe kila kitu na China hapo nitaelewa, kama sivo basi kujifananisha huku ni upuuzi kama inavyotakiwa tuipuuze ccm
 
flyover.jpg natamani za kwetu ziwe hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom