Halafu haka katabia kwa akina dada huwa kana nikera kweli....

Naamini wanaume wengi huwa hawakapendi haka katabia....unakuta umepanga kuonana na mdada labda geto au mmepanga na mmekutana sehemu lakini muda si muda utaskia mdada anaanza mara ooh unajua mi sikai sana nataka kuwahi, mara ooh ntatafutwa nyumbani...mtu ushakua kwenye mood nyingine afu na yeyd ndo anaanza na kipresha cha kuondoka...yani inakera sana...hivi zile huwa ni mbwembwe au nini?? Kama huna nafasi si ucje kabisa?? Ebo
swafi sana.
 
Sa unataka afanyaje kama kwao kuna muda maalumu wa kurudi na tofauti na hapo ni kipigo,acha ubinafsi uwe unajiweka pia kwenye nafasi ya mwenzio, kwani unafikiri yeye pia hataki au hana hamu?
 
Sa unataka afanyaje kama kwao kuna muda maalumu wa kurudi na tofauti na hapo ni kipigo,acha ubinafsi uwe unajiweka pia kwenye nafasi ya mwenzio, kwani unafikiri yeye pia hataki au hana hamu?

hahahaha kiukweli umenifurahisha sana......eti kwani nayeye hana hamu lol..
 
Kipindi nipo kijana kama wewe swahiba wangu mmoja alikuwa anasema kama unategemea mgeni kama huyo usifagie fagie nakupanga vitu vizuri lol
 
Tafuta mijimama likija iltataka kulala hapo hapo ushindwe mwenyewe, si unapenda kupigamambo yetu yale.

mwanangu hii iko safi ila mijimama ya siku hizi mwanangu haichoki kwenye gemu yani utajitutumua lakini bado yupo tu daaaah
 
Back
Top Bottom