Halafu haka katabia kwa akina dada huwa kana nikera kweli....

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Naamini wanaume wengi huwa hawakapendi haka katabia....unakuta umepanga kuonana na mdada labda geto au mmepanga na mmekutana sehemu lakini muda si muda utaskia mdada anaanza mara ooh unajua mi sikai sana nataka kuwahi, mara ooh ntatafutwa nyumbani...mtu ushakua kwenye mood nyingine afu na yeyd ndo anaanza na kipresha cha kuondoka...yani inakera sana...hivi zile huwa ni mbwembwe au nini?? Kama huna nafasi si ucje kabisa?? Ebo
 
ebwena weee...yaani inaboa balaaaaaaa
mie siku hizi rule ni hii: time = respect
sasa kama unanipotezea muda means u dnt respect me = u not worth the chase
 
Naamini wanaume wengi huwa hawakapendi haka katabia....unakuta umepanga kuonana na mdada labda geto au mmepanga na mmekutana sehemu lakini muda si muda utaskia mdada anaanza mara ooh unajua mi sikai sana nataka kuwahi, mara ooh ntatafutwa nyumbani...mtu ushakua kwenye mood nyingine afu na yeyd ndo anaanza na kipresha cha kuondoka...yani inakera sana...hivi zile huwa ni mbwembwe au nini?? Kama huna nafasi si ucje kabisa?? Ebo
Tafuta mijimama likija iltataka kulala hapo hapo ushindwe mwenyewe, si unapenda kupigamambo yetu yale.
 
Hiyo ni lugha ya mafumbo. . .
Halalisha umpate wakati wowote na kwa muda wowote bila ahadi za kukutana gesti.
 
hiyo uliyoiita 'mood nyingine' unaisababisha mwenyewe,ww unagonga azzym cola (mkuyat) kabla hujahakikishiwa mambo? Angalia siku nyingine hiyo mudi yako itapelekea ufanye maamuz yasofaa
 
Kuna mwoaji hapo? Watakula mawe? Hizo lugha zenyewe zinaonesha ni makinda hawa

na jimama zima kukaa na katoto zijui inakuwaje, hainiingi akilini. Hivi kweli nipike pilau langu la maana afu niwape watoto walimwage mwage badala ya kutafuta waloshiba walile kiutu uzima?

Formula ya viserengeti siielewi kabisa.

Hiyo ni lugha ya mafumbo. . .
Halalisha umpate wakati wowote na kwa muda wowote bila ahadi za kukutana gesti.
 
Tafuta mwanamke uoe ile uwe naye muda wote. Halafu inaonyesha wewe ni mmoja wa wato wanaotuharibia watoto wa shule!! Jipime na ubadili mwenendo
 
Kuna mwoaji hapo? Watakula mawe? Hizo lugha zenyewe zinaonesha ni makinda hawa

na jimama zima kukaa na katoto zijui inakuwaje, hainiingi akilini. Hivi kweli nipike pilau langu la maana afu niwape watoto walimwage mwage badala ya kutafuta waloshiba walile kiutu uzima?

Formula ya viserengeti siielewi kabisa.

Kongosho mi sikuwezi. . . ngoja niache wakubwa wenzio wakujibu.
 
Tafuta mwanamke uoe ile uwe naye muda wote. Halafu inaonyesha wewe ni mmoja wa wato wanaotuharibia watoto wa shule!! Jipime na ubadili mwenendo

hahaha dah mkuu....swala la watoto wa shule hadi mawaziri wanakula sembuse mie....
 
Lazima akupimie ndo utaoa. Yaani unataka ujisavie tu wakati hata kwao si hajabu hawakujuhi. Ningemjua huyo dada ningemwambia azidishe kabisa mpaka utangaze nia. Lol.
 
Tafuta mwanamke uoe ile uwe naye muda wote. Halafu inaonyesha wewe ni mmoja wa wato wanaotuharibia watoto wa shule!! Jipime na ubadili mwenendo

sa hao watoto wa shule,c jk ameruhusu waharibiwe au umesahau mkuu?
 
Back
Top Bottom