Hakuna ubishi Majani ni G.O.A.T. Taja beats ambazo alizitendea haki kiuhakika

20231030_165917.jpg
 
Master J hamna kitu kabisa. Yani kwa vile tulikuwa gizani ilifanya kila mtu ahisi kwamba master J ni balaa. Ukiskiliza album ya Wagosi wa kaya ndio utaelewa kwamba J alikuwa ni ndezi tu.
Mi nilikuwa nashangaa sana waliokuwa wanamcompare majani na Mj, Ujue beat nyingi za P ni classic hata ukizisikiliza leo, tofauti na yale madebe aliyokuwa anayapiga Master J
 
Master J hamna kitu kabisa. Yani kwa vile tulikuwa gizani ilifanya kila mtu ahisi kwamba master J ni balaa. Ukiskiliza album ya Wagosi wa kaya ndio utaelewa kwamba J alikuwa ni ndezi tu.
Kweli kabisa
Majani ali kuwa anapika bit, anamix , ana engineer sauti, na bado ililuwa inatoka ngoma kali, we fikiria majani kwa kipindi hiki wakati teknolojia ipo juu sijui ingekuwaaaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom